Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kaka fungua pm yakoTaarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga.
Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
Mkuu pm imefungwa naomba ufungue tafadhaliTaarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga.
Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
Ngoja niangalie settings.Mkuu pm imefungwa naomba ufungue tafadhali
Naangalia settings nifunguwe sijawahi kuifunga.Mkuu pm imefungwa naomba ufungue tafadhali
Mkuu Madini Gani Mimi Niko Vzurii Sana Kwenye Utafutaji wa Almasi (Diamond) na Dhahabu.. Nimechimba Xana.Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga.
Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
Huyo nimeona thread yake anatafuta hiyo ajira lakini namba ya simu aliyoweka nimepiga sana haipatikani.Fibonacci njoo huku umalizane na jamaa
Kwa Sasa vacancy in hiyo post moja tu ya mining Engineer.Mkuu Madini Gani Mimi Niko Vzurii Sana Kwenye Utafutaji wa Almasi (Diamond) na Dhahabu.. Nimechimba Xana.
Unaweza Kunitumia kama Consultant.
Sitaweza Kufanya Kazi, Kwasasa naweza Kutoa ushauri, Nimebanana na Masomo Yangu Ya Udaktari. ( Medical School).
Kwa Maelezo Zaidi Tuwasiliane.
Asante Kwa Muda Wako.