Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam.
✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.
✅ Nitatoa mafunzo mafupi kabla ya kuanza kazi, lakini unahitaji kuwa na uelewa wa msingi wa kutumia kompyuta.
✅ Hii ni kazi ya ofisini, si ya kutembea au kusambaza bidhaa.
✅ Hakuna malipo yoyote ya kuomba kazi.
✅ Kazi inahusiana na forex na cryptocurrency – utajifunza pia namna mfumo unavyofanya kazi.
📌 Sifa Muhimu:
📍 Ofisi ipo Kinyerezi Mwisho – Dar es Salaam
📩 Kama una nia ya kazi na uko tayari kujifunza kitu kipya, nitumie ujumbe kwenye inbox kwa maelezo zaidi.
🚀 Natafuta mtu mwepesi wa kuelewa, mwenye bidii, na anayependa teknolojia!

- Umri: 20 - 28
- Mwelewa wa teknolojia na kompyuta (basic level inatosha)
- Mwenye nidhamu, uwajibikaji, na anayependa kujifunza
- Muda wa kazi: Kutegemea ratiba ya robot, lakini ni ndani ya masaa ya ofisi
- Uwezo wa kujifunza haraka na kufuata maelekezo