Nafasi ya kazi kwa mtaalam wa maabara

Nafasi ya kazi kwa mtaalam wa maabara

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,186
Reaction score
7,492
Kama umesomea fani ya maabara, una vyeti stahiki, umesajiliwa na baraza na una cheti cha usajili, ni muaminifu na mchapa kazi, unahitaji kazi na uko dar nicheki PM haraka nikupe connection.

Asante.
 
Bro niko hapa ila nimesajiliwa provisional license
 
Back
Top Bottom