Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
Wepostnow tuunatafuta waandishi wa kujitegemea kujiunga na timu yateu.Utaweza kupata hadi kiasi cha shilingi 460,000 kila mwezi (200$).

Wepostnow inakupa nafasi ya kuandika kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza.

Pia mfumo wetu unakupa nafasi ya kufanya kazi muda wowote ule kupitia simu yako ya mkononi au Kompyuta.

Unachopaswa kukifanya ni?
Kuandika maudhui kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza(ila Kiswahili itafaa Zaidi)

Unaweza kuandika stori (makala) mbalimbali kama michezo,muziki, simulizi mbalimbali za maisha, elimu kuhusu masuala ya fedha.
Sifa zipi zinakupa nafasi ya kufanya kazi na Wepostnow?

1. Muhitimu wa chuo katika fani yeyote ila mwenye uwezo wa kuandika stori,Makala yeyote ile kwa ufasaha.

2. Uwezo mzuri katika kuandika kwa lugha zote ya Kiswahili na Kiingereza.

Wepostnow inakupa nafasi ya kupanua wigo wako wa uandishi,jiunge sasa nafasi ni yako

NB:Tizama kiambatanisho hapo chini kina maelezo ya namna ya kuweza kujiunga na Wepostnow na kuna Link Mwanzo tu ambapo ukibofya itakupeleka kwenye mtandao wa Wepostnow.
 
Attachments

Wepostnow inakupa nafasi ya kuandika kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza.Pia mfumo wetu unakupa nafasi ya kufanya kazi muda wowote ule kupitia simu yako ya mkononi au Kompyuta.
Unachopaswa kukifanya ni?
Kuandika maudhui kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza(ila Kiswahili itafaa Zaidi)
Unaweza kuandika stori (makala) mbalimbali kama michezo,muziki, simulizi mbalimbali za maisha, elimu kuhusu masuala ya fedha.
Sifa zipi zinakupa nafasi ya kufanya kazi na Wepostnow?
1. Muhitimu wa chuo katika fani yeyote ila mwenye uwezo wa kuandika stori,Makala yeyote ile kwa ufasaha.
2. Uwezo mzuri katika kuandika kwa lugha zote ya Kiswahili na Kiingereza.
Wepostnow inakupa nafasi ya kupanua wigo wako wa uandishi,jiunge sasa nafasi ni yako
NB:Tizama kiambatanisho hapo chini kinamaelezo ya namna ya kuweza kujiunga na Wepostnow na kuna Link Mwanzo tu ambapo ukibofya itakupeleka kwenye mtandao wa Wepostnow.
Unaaply vipi mbona inagoma
 
Mnahitaji cameraman na editor.?
Mimi naweza fanya hayo ila vifaa sina hvy ntategemea vya ofisini.
 
Safi sana..Mimi Niko vizuri naweza kuandika makala za aina zote,,tatizo bado nipo chuo ila namaliza mwezi wa6, Hata hapa chuoni kuna gazeti waga naandika makala nyingi2, Pia Niko vizuri kwenye kutangaza redioni na TV
 
Unaweza kuandika makala za aina zote kivipi? Angalia usidanganye! Huwezi kuwa expert kwenye maeneo yote.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna aina kuu mbili za Makala..1:News features,hizi in makala ambazo zinaandikwa baada ya tukio kutokea kwa muda huo unaandika then inasomwa redioni au kwenye TV (Currently).. 2:Timeless features, Hizi unaandika matukio ya zamani,,sasa kwa aina izo mbili humo ndani una'focus na angle moja kama ni Uchumi,Kisiasa,Michezo,Muziki,Historia nk.Sasa Mimi zote izo naandika
 
Safi sana..Mimi Niko vizuri naweza kuandika makala za aina zote,,tatizo bado nipo chuo ila namaliza mwezi wa6, Hata hapa chuoni kuna gazeti waga naandika makala nyingi2, Pia Niko vizuri kwenye kutangaza redioni na TV
safi, nicheki inbox nitakuelekeza
 
Wepostnow tuunatafuta waandishi wa kujitegemea kujiunga na timu yateu.Utaweza kupata hadi kiasi cha shilingi 460,000 kila mwezi (200$).

Wepostnow inakupa nafasi ya kuandika kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza.

Pia mfumo wetu unakupa nafasi ya kufanya kazi muda wowote ule kupitia simu yako ya mkononi au Kompyuta.

Unachopaswa kukifanya ni?
Kuandika maudhui kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza(ila Kiswahili itafaa Zaidi)

Unaweza kuandika stori (makala) mbalimbali kama michezo,muziki, simulizi mbalimbali za maisha, elimu kuhusu masuala ya fedha.
Sifa zipi zinakupa nafasi ya kufanya kazi na Wepostnow?

1. Muhitimu wa chuo katika fani yeyote ila mwenye uwezo wa kuandika stori,Makala yeyote ile kwa ufasaha.

2. Uwezo mzuri katika kuandika kwa lugha zote ya Kiswahili na Kiingereza.

Wepostnow inakupa nafasi ya kupanua wigo wako wa uandishi,jiunge sasa nafasi ni yako

NB:Tizama kiambatanisho hapo chini kina maelezo ya namna ya kuweza kujiunga na Wepostnow na kuna Link Mwanzo tu ambapo ukibofya itakupeleka kwenye mtandao wa Wepostnow.
Mbona nikijaribu kuregester inagoma...?
Je, kuna shida yoyote ya kiufundi au kimfumo?
 
Halafu pale juu kwenye website yenu mmeandika kwamba, kwa kila makala moja mhusika (mwandishi) atalipwa USD 0.8! Maana yake ili mwandishi aweze kupata dollar 200 kwa mwezi ni lazima aandae na kuandika makala 250 kwa mwezi mmoja = makala 8 kwa siku moja!

Je, hamuoni kuwa kutakuwa na makala nyingi lakini zisizo kuwa na ubora kutokana na malipo madogo + kazi kubwa! Mwisho Wa siku watu waudharau na kuupuza mtandao/ blog yenu?
Au Moods mnasemaje?
 
Naamini Kaka
Kama ww ni mwandishi kwa nini unakubali $0.8(~sh 2000) kwa article wakati kikawaida article hulipwa kwa idadi ya maneno.

Ukiaangalia rate za waandishi wengi wa upwork ni $0.05/word

Jifikirie upya kiongozi ni bora kuwa na blog yako binafsi.
 
Back
Top Bottom