Nafasi ya kazi ya Afisa Mikopo

Nafasi ya kazi ya Afisa Mikopo

Adjuss

Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
49
Reaction score
15
Kuna nafasi ya kazi ya afisa mikopo kwenye ofisi ya Microfinance.

Ni ofisi ambayo ndo inaanza kutoa huduma ya mikopo midogo midogo hivyo inahitaji mfanyakazi mwenye elimu ya diploma ya finance,Marketing, Accounting au Business Administration.

Muombaji anatakiwa awe amewahi kufanya kazi kama afisa mikopo kwenye Microfinances, awe anaufahamu wa kutumia microsoft word,excel na angalau mfumo mmojawapo wa kutoa mikopo, good customer care na administration skills.

Ofisi ina prefer zaidi mwannaume kuanzia miaka30.

Kwa atakayekuwa interested awasilishe maombi yake kwa meseji kwenye namba 0745292135.

Ukipiga simu haitapokelewa, tuma meseji tu na ukionekana na sifa utapigiwa simu kwa ajili ya mahojiano.
 
Mshahara mmepanga iwe bei gani au mtalipa bei gani. Kuna Mkurya mmoja anaiweza sana hio kazi Mr.Chacha
 
Mimi pia nahitaji lakini ni ke itakuwaje sasa? Na nilishafanya kazi kama loan officer kwenye microfinance hapa mjini dsm
 
Back
Top Bottom