Nafasi ya kazi ya fundi mechanic magari makubwa

Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
2,014
Reaction score
3,066
Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina.
Sifa zinazohitajika:
• Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za malori na magari makubwa.
• Uwe na uwezo wa kufanya matengenezo na overhaul za gearbox.
• Uwe unafahamu vizuri magari ya Kichina kama HOWO, SHACMAN, FAW, SINOTRUK na mengine yanayofanana.
• Uwe na uwezo wa kufanya uchunguzi wa hitilafu (diagnosis) kwa usahihi.
• Uwe mwaminifu, mchapakazi na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea.
Majukumu:
• Kufanya matengenezo ya engine na gearbox.
• Kufanya ukaguzi wa magari na kubaini hitilafu.
• Kuhakikisha magari ya kampuni yanakuwa katika hali nzuri ya uendeshaji.
• Kutoa ushauri wa kiufundi kuhusu matengenezo na matumizi ya magari.
Mahali pa kazi: Dar es salaam (yard ipo Sinza)
Mshahara: Utajadiliwa kulingana na uzoefu na uwezo.
Waombaji watume maelezo yao, uzoefu wa kazi na namba ya mawasiliano kupitia email hii [email protected] au ni-pm mimi hapa JF.
Kipaumbele kitatolewa kwa mafundi wenye uzoefu wa magari ya Kichina na wenye rekodi nzuri ya kazi.
 
Sisi ambao tupo kwenye upande wa umeme wa magari aina Benz
 
Tech Max kazi hii
 
Tech Max fursa hii hapa.
 
Back
Top Bottom