Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,014
- 3,066
Ni PM number zako, tuna fleet ya Mercedes Benz trucks pia, Actros na Atego .Sisi ambao tupo kwenye upande wa umeme wa magari aina Benz
Na sisi tukio maliza vyuo tunahitaj uzoefu kwenye upande wa umemeNi PM number zako, tuna fleet ya Mercedes Benz trucks pia, Actros na Atego .
Tech Max kazi hiiTunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina.
Sifa zinazohitajika: • Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za malori na magari makubwa. • Uwe na uwezo wa kufanya matengenezo na overhaul za gearbox. • Uwe unafahamu vizuri magari ya Kichina kama HOWO, SHACMAN, FAW, SINOTRUK na mengine yanayofanana. • Uwe na uwezo wa kufanya uchunguzi wa hitilafu (diagnosis) kwa usahihi. • Uwe mwaminifu, mchapakazi na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea.
Majukumu: • Kufanya matengenezo ya engine na gearbox. • Kufanya ukaguzi wa magari na kubaini hitilafu. • Kuhakikisha magari ya kampuni yanakuwa katika hali nzuri ya uendeshaji. • Kutoa ushauri wa kiufundi kuhusu matengenezo na matumizi ya magari.
Mahali pa kazi: Dar es salaam (yard ipo Sinza)
Mshahara: Utajadiliwa kulingana na uzoefu na uwezo.
Waombaji watume maelezo yao, uzoefu wa kazi na namba ya mawasiliano kupitia email hii operations.manager@xriveir.com au ni-pm mimi hapa JF.
Kipaumbele kitatolewa kwa mafundi wenye uzoefu wa magari ya Kichina na wenye rekodi nzuri ya kazi.
Tech Max fursa hii hapa.Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina.