Dee_Aristotle
Member
- May 29, 2021
- 54
- 30
I appreciate you💪Umejiongeza, experience inapatikana kwenye volunteer ili uweze kushindana kwenye solo la ajira.
Usiogope apply kwenye taasisi nyingi huwezi kukosa moja utapata.
Boss mwenye akili na huruma mtu anapoomba volunteer anajuwa ni nini unatafuta utafanikiwa.
Keep it up my Son.
Daddy limekaa kiukakasi sana sema dadI appreciate you daddy [emoji123]
Hata dad lina ukakasi, mtu hata humjui unamuitaje dad? Kwanza huko mbali, mtu sio baba yako unamuitaje dad hata kama ana umri sawa na baba yako? Ita Sir inatosha kama ni lazima uongee kizunguDaddy limekaa kiukakasi sana sema dad
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jaman mbona masimango tenaHata dad lina ukakasi, mtu hata humjui unamuitaje dad? Kwanza huko mbali, mtu sio baba yako unamuitaje dad hata kama ana umri sawa na baba yako? Ita Sir inatosha kama ni lazima uongee kizungu
Mchepuko wangu unaniitaga dadyDah kwel. Nimeedit mzee.
Kila la kheri ndugu.Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
Njoo ujitolee Mortuary hospitali ya Mnazi Mmoja ZanzibarHabari zenu wanajamii,
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina miaka 24, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Nimesomea shahada ya sanaa katika isimu na fasihi (Bachelor of Arts in linguistics and literature). Mbali na elimu niliyosomea nina ujuzi na computer applications.
Natafuta nafasi ya kujitolea katika taasisi binafsi yoyote ile au NGO yoyote ile Dar es salaam inayojihusisha na masuala ya kielimu. Lengo ni kupata uzoefu wa kufanya kazi na taasis binafsi au NGO kwa muda wa mwaka 1+
Mawasiliano;
0783 949 279
Dar es salaam
Ahsanteni 🙏
tengeneza thread yako. andika profile yako kwa uzuri kabisa, kazi unazoweza kuzifanya na competencies zako na mawasiliano yako. Hapo utakua visible. hizi za kuingia kwenye thread za watu unakua over shadowed.Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote