Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Shikamoo bibiUaut no ila nimezeeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo bibiUaut no ila nimezeeka
Na mimi ni simba nikikamata nakula😹😹😹 JF ni kichaka chenye wanyama wakali
Usije kuwa simba wa Moh 😹😹Na mimi ni simba nikikamata nakula
Moh katukutaUsije kuwa simba wa Moh 😹😹
Mtaendana usijaliUmesahau kusema umri wako
Mimi sio mweupe, n cheusi mangala😀Mtaendana usijali
Weusi watamu atiMimi sio mweupe, n cheusi mangala😀
jf ni kuchakatana, ingawa ndoa chache sana za humu ambazo zinapumuaHivi kuna couples JF zilizofanikiwa kufunga ndoa au zinaishia "kuchakatana" tu?
Tujulishane jamani.
Mkuu nipigie simu unipe madili hahaNini mkuu
😜Santeesikilizia haka tajiri wangu
View attachment 3048247
🙏Asante Sana,Ila sijui kwanini vinyimbo vyako vinanifanya nizidi kuwa mpweke na kujikunyata zaidi😟
Jitokeze kwa I'd yako ya zamani mkuu,please
Mie nipo pembeni yako.. usijali🙏Asante Sana,Ila sijui kwanini vinyimbo vyako vinanifanya nizidi kuwa mpweke na kujikunyata zaidi😟