Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

Hapo mtaani kwako, au kanisani kwako au masjid au ofisini hakuna warembo mpaka utupe ndoano kwenye maji ya mwendo Kasi?
Unataka kutuambia Hadi umeajiriwa na kuanzisha biashara huna girl friend? Tatizo la nyege ulikua unalitatuaje? Ama wewe Ni mzoefu wa kuchukua Sheria mkononi a.k.a mcheza pool table?
Huku bro utakutana na mtu ana watoto wawili lakini bikra imo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…