Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.
Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.
Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri