Nafasi ya Msemaji wa Timu za soka ifutwe, Haina tija yoyote

Hakuna hiyo nafasi katika vilabu vya ulaya, kwenye timu za ulaya kocha ndiye msemaji wa timu katika mambo yote yanayohusu mpira.
Jamani nadhani wapo ila Majukumu na namna wanavyo yatekeleza Ndiyo tofauti. Hutamsikia akisema Man United imemsign kiungo mkata umeme. Vilabu vya ulaya nafasi ya akina Ali Kamwe inaitwa Communications officer. Pale Man U yupo Mama Ellie Norman, Pale Arsenal yupo Mama Kate Lauren's na Real Madrid yupo Mr Francois Guerin. I stand to be corrected.
 
😆😆😆😆 hawapo wala
 
Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.

View attachment 3045449

Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.

Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri
Unajua kitengo cha public relations kina kazi gani kwenye organisation yeyote?

Kila organisation lazima iwe na PR, naona hapa shida yenu ni lugha tu.
 
Kwamba Kocha ndiye anayeratibu utambulisho wa wachezaji, community/fans engagements activities, matangazo n.k?
Ulaya masuala ya usajili wa wachezaji, kuwachwa kwa mchezaji na utambulisho wa wachezaji yanaratibiwa na kuzungumziwa na kocha.

Community/fans engagements inasimamiwa na kuratibiwa fan's advisory board, matangazo yanasimamiwa na kitengo cha matangazo.
 
Jamani nadhani wapo ila Majukumu na namna wanavyo yatekeleza Ndiyo tofauti. Hutamsikia akisema Man United imemsign kiungo mkata umeme. Vilabu vya ulaya nafasi ya akina Ali Kamwe inaitwa Communications officer. Pale Man U yupo Mama Ellie Norman, Pale Arsenal yupo Mama Kate Lauren's na Real Madrid yupo Mr Francois Guerin. I stand to be corrected.
Uko sahihi, Cheif communications Officer/director wa timu za Ulaya majukumu yake ni tofauti sana na hawa wa huku bongo, tofauti mojawapo ni hiyo kwamba huwa hawazungumzii masuala ya ndani ya kiwanja ya ufundi, hayo wanamwachia coach. Wao wako katika mawasiliano rasmi zaidi na wadau wa timu, pia kuelekeza na kusimamia wachezaji na makocha namna ya kuwasiliana na wadau wote.
 
Ulaya masuala ya usajili wa wachezaji, kuwachwa kwa mchezaji na utambulisho wa wachezaji yanaratibiwa na kuzungumziwa na kocha.

Community/fans engagements inasimamiwa na kuratibiwa fan's advisory board, matangazo yanasimamiwa na kitengo cha matangazo.
Ni Dulla na Abdallah…
Tofauti zinngine ni sababu za kimazingira, utamaduni na levels
 
Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.

View attachment 3045449

Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.

Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri
Mpira wetu unahitaji wasemaji/wapiga debe. La sivyo hutoboi hakuna atakayekuja uwanjani
 
Kiukweli hata mimi sijawahi kabisa kuilewa hii position ya msemaji wa club.

Naonaga kama inventor wa hii position alikuwa na sababu zake za kiswahili swahili tu na wala sio za kimpira.
 
Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.

View attachment 3045449

Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.

Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri
Zikifutwa wengine ambao hawana tena pa kwenda wakafanye nini Mkuu? Hebu waonee Huruma waendelee Kunenepa.
 
Au Mo na Mudi, Chris na tofa
Uswahili wetu ndiyo umewa shape wasemaji wawe na style hiyo, kiasi kwamba kwa haraka inakuwa ni ngumu mtu kufikiri Msemaji na kitengo cha habari na mawasiliano ni kitu kimoja.
Msemaji amevaa ushereheshaji zaidi haonekani kama ana mahisiano yoyote na issues za communications, advocacy and engagements
 
Back
Top Bottom