Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezisikia hizo fidiaSoka letu kivyetuvyetu
publicity secretary, kitaalamu inatakiwa awe mwanasheriaKatika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.
View attachment 3045449
Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.
Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri