Nafasi ya Msemaji wa Timu za soka ifutwe, Haina tija yoyote

Ungetupatia majukumu yake ili tuweze kupima kama hiyo nafasi inahitajika au lah au lama kweli vilabu vya Ulaya ni kweli havina hiyo nafasi au ilvina hiyo nafasi ila wewe ndiye haujui kama ndiyo hiyo
Hakuna hiyo nafasi katika vilabu vya ulaya, kwenye timu za ulaya kocha ndiye msemaji wa timu katika mambo yote yanayohusu mpira.
 
Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.

View attachment 3045449

Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.

Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri
Ahmed Ally ndio amefanya nafasi ya msemaji kuwa comedy. Ujinga ulikolea kuanzia kwa Manara, ila sasa mrithi kapatikana. Kero nyingine ni ongezeko la wachambuzi wa soka wasiojielewa.
 
Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.
Mpira wetu unaendelea kwa sababu ya hawa jamaa wasemaji. Nakuomba acheni kukariri maisha kwa kuangalia wengine wamefanya nini ndio kiwe kipimo cha maendeleo yenu.
 
Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.

View attachment 3045449

Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.

Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri
Kwa nini wao Ulaya wasiige kwetu wakawa na wasemaji kama sisi.
 
Back
Top Bottom