Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hawa watu wapo chini ya idara za habari na mawasiliano ya club. Wameongeza hamasa na kusaidia mpira kuwafikia watu wengi zaidi leo kuna idadi kubwa ya watoto na wanawake wanaopenda mpira na kuufatilia kwa sababu ya hamasa zao.Wamefanya nini?
Public speaking protocol ni 0%...Mumtoe huyo Kamwee kwanza maana ana jazba sana...ππ
Yanii acha tuu beshte...πππPublic speaking protocol ni 0%...
Press ya jana anaongea kama anagombana na Demu wake..
Jamani nadhani wapo ila Majukumu na namna wanavyo yatekeleza Ndiyo tofauti. Hutamsikia akisema Man United imemsign kiungo mkata umeme. Vilabu vya ulaya nafasi ya akina Ali Kamwe inaitwa Communications officer. Pale Man U yupo Mama Ellie Norman, Pale Arsenal yupo Mama Kate Lauren's na Real Madrid yupo Mr Francois Guerin. I stand to be corrected.Hakuna hiyo nafasi katika vilabu vya ulaya, kwenye timu za ulaya kocha ndiye msemaji wa timu katika mambo yote yanayohusu mpira.
ππππ hawapo walaJamani nadhani wapo ila Majukumu na namna wanavyo yatekeleza Ndiyo tofauti. Hutamsikia akisema Man United imemsign kiungo mkata umeme. Vilabu vya ulaya nafasi ya akina Ali Kamwe inaitwa Communications officer. Pale Man U yupo Mama Ellie Norman, Pale Arsenal yupo Mama Kate Lauren's na Real Madrid yupo Mr Francois Guerin. I stand to be corrected.
Unajua kitengo cha public relations kina kazi gani kwenye organisation yeyote?Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.
View attachment 3045449
Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.
Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri
Ulaya masuala ya usajili wa wachezaji, kuwachwa kwa mchezaji na utambulisho wa wachezaji yanaratibiwa na kuzungumziwa na kocha.Kwamba Kocha ndiye anayeratibu utambulisho wa wachezaji, community/fans engagements activities, matangazo n.k?
Uko sahihi, Cheif communications Officer/director wa timu za Ulaya majukumu yake ni tofauti sana na hawa wa huku bongo, tofauti mojawapo ni hiyo kwamba huwa hawazungumzii masuala ya ndani ya kiwanja ya ufundi, hayo wanamwachia coach. Wao wako katika mawasiliano rasmi zaidi na wadau wa timu, pia kuelekeza na kusimamia wachezaji na makocha namna ya kuwasiliana na wadau wote.Jamani nadhani wapo ila Majukumu na namna wanavyo yatekeleza Ndiyo tofauti. Hutamsikia akisema Man United imemsign kiungo mkata umeme. Vilabu vya ulaya nafasi ya akina Ali Kamwe inaitwa Communications officer. Pale Man U yupo Mama Ellie Norman, Pale Arsenal yupo Mama Kate Lauren's na Real Madrid yupo Mr Francois Guerin. I stand to be corrected.
Ni Dulla na Abdallahβ¦Ulaya masuala ya usajili wa wachezaji, kuwachwa kwa mchezaji na utambulisho wa wachezaji yanaratibiwa na kuzungumziwa na kocha.
Community/fans engagements inasimamiwa na kuratibiwa fan's advisory board, matangazo yanasimamiwa na kitengo cha matangazo.
Au Mo na Mudi, Chris na tofaNi Dulla na Abdallahβ¦
Tofauti zinngine ni sababu za kimazingira, utamaduni na levels
Mpira wetu unahitaji wasemaji/wapiga debe. La sivyo hutoboi hakuna atakayekuja uwanjaniKatika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.
View attachment 3045449
Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.
Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri
Kwa nini mtu anahitaji wapiga debe ili aende uwanjani??Mpira wetu unahitaji wasemaji/wapiga debe. La sivyo hutoboi hakuna atakayekuja uwanjani
EPL ipi?Wanaleta hamasa sanaa ,Saiv league ya bongo nikama Epl
Zikifutwa wengine ambao hawana tena pa kwenda wakafanye nini Mkuu? Hebu waonee Huruma waendelee Kunenepa.Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala kadhaa kwa ajili ya timu, Hakuna wapiga porojo.
View attachment 3045449
Nadhani kuna haja ya vilabu vyetu kuondoa hao wanaoitwa Wasemaji na hata wanaoitwa Mameneja, hawana lolote na hawasaidii chochote, Kocha anatosha kuwa Msemaji wa Timu.
Labda kama tunataka kuwapa ajira vijana basi tutafute vyeo vingine vinavyoeleweka tuwaajiri
Uswahili wetu ndiyo umewa shape wasemaji wawe na style hiyo, kiasi kwamba kwa haraka inakuwa ni ngumu mtu kufikiri Msemaji na kitengo cha habari na mawasiliano ni kitu kimoja.Au Mo na Mudi, Chris na tofa