SoC01 Nafasi ya Vyombo Huru vya Habari katika Maendeleo ya Jamii

Stories of Change - 2021 Competition

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554

Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo kufikia sasa Vyombo vingi vya habari hasa katika nchi za kiafikra vinashindwa kutimiza majukumu yake kutokana na kuingiliwa na mamlaka au nguvu katika dola kilichopo.

Hivyo ili vyombo hivi viweze kufanya kazi zao bila kusumbuliwa vimekuwa vikikwepa sana kuligusa tabaka tawala kwa namna hasi. Na nikutokana na sababu hii walaji wa vyombo hivi wanakosa haki ya maendeleo ambayo yangeweza kuletwa ikiwa vyombo hivi vingekuwa na uhuru wakutosha. Ufuatao ni umuhimu wa vyombo huru vya habari katika kuleta maendeleo ya jamii;

Vyombo huru vya habari huchochea utawala bora; Ikiwa vyombo vya habari nihuru, wanahabari watafanya kazi zao kwa uhuru bila kuogopa kufichua na kuuhabarisha umma juu ya matendo na mienendo ya viongozi wasioongoza nakufuata misingi ya utawala bora, kwani mambo haya ni sumu kali ya maendeleo katika jamii

Pia vitatoa nafasi sawa kwa mirengo yote hivyo kupatikana mawazo ya kimaendeleo kutoka pande zote; Kwa nchi nyingi za kiafrika usawa katika vyombo vya habari imekuwa ni ndoto ya muda mrefu. Maranyingi vyombo hivyo vimekuwa havitoi nafasi sawa hasa wakati wa kampeni za kisiasa kutokana na kutokuwa huru wakati fulani mwanasiasa mmoja alishawahi kusema " nimelipa mahala fulani mkutano huu uruke hewani lakini wakanijibu tungekubali lakini tunaogopa" kwa mintarafu hiyo tunapata ushahidi kuwa vyombo vingi vya habari vinakosa uhuru wake na hivyo kushindwa kuleta maendeleo kwa jamii.

Vilevile vyombo vya habari vinapokuwa huru vitaweza kuandaa mijadala ya wazi ya kimaendeleo bila kuogo[pa kuchokoza upande wowote kihoja. Wanahabari wanapokuwa huru bila kuingiliwa na mamlaka fulani watajiamini katika kazi zao ikiwa nia pamoja na kuandaa mijadala ya kisiasa, kuhoji na kutoa mtazamo katika masuala yote bila kuwa na hofu na hivyo kupatikana kwa masuluhisho ya matatizo ya kinchi.

Hata hivyo vyombo huru vya habari vianyo nafasi kubwa ya kuhubiria amani, kukosoa , kuhoji na kutafuta masuluhisho kwa kuandaa mijadala mbalimbali. Hivyo ni muhimu vyombo hivi kupewa uhuru wake kwa asilimia zote bila kuingiliwa na kundi lolote au mamlaka fulani. "Hakuna maendeleo ya kweli bila kuwepo kwa uhuru wa vyombo vya habari"
 
Upvote 10

Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo kufikia sasa Vyombo vingi vya habari hasa katika nchi za kiafikra vinashindwa kutimiza majukumu yake kutokana na kuingiliwa na mamlaka au nguvu katika dola kilichopo. Hivyo ili vyombo hivi viweze kufanya kazi zao bila kusumbuliwa vimekuwa vikikwepa sana kuligusa tabaka tawala kwa namna hasi. Na nikutokana na sababu hii walaji wa vyombo hivi wanakosa haki ya maendeleo ambayo yangeweza kuletwa ikiwa vyombo hivi vingekuwa na uhuru wakutosha. Ufuatao ni umuhimu wa vyombo huru vya habari katika kuleta maendeleo ya jamii;

Vyombo huru vya habari huchochea utawala bora; Ikiwa vyombo vya habari nihuru, wanahabari watafanya kazi zao kwa uhuru bila kuogopa kufichua na kuuhabarisha umma juu ya matendo na mienendo ya viongozi wasioongoza nakufuata misingi ya utawala bora, kwani mambo haya ni sumu kali ya maendeleo katika jamii

Pia vitatoa nafasi sawa kwa mirengo yote hivyo kupatikana mawazo ya kimaendeleo kutoka pande zote; Kwa nchi nyingi za kiafrika usawa katika vyombo vya habari imekuwa ni ndoto ya muda mrefu. Maranyingi vyombo hivyo vimekuwa havitoi nafasi sawa hasa wakati wa kampeni za kisiasa kutokana na kutokuwa huru wakati fulani mwanasiasa mmoja alishawahi kusema " nimelipa mahala fulani mkutano huu uruke hewani lakini wakanijibu tungekubali lakini tunaogopa" kwa mintarafu hiyo tunapata ushahidi kuwa vyombo vingi vya habari vinakosa uhuru wake na hivyo kushindwa kuleta maendeleo kwa jamii.

Vilevile vyombo vya habari vinapokuwa huru vitaweza kuandaa mijadala ya wazi ya kimaendeleo bila kuogo[pa kuchokoza upande wowote kihoja. Wanahabari wanapokuwa huru bila kuingiliwa na mamlaka fulani watajiamini katika kazi zao ikiwa nia pamoja na kuandaa mijadala ya kisiasa, kuhoji na kutoa mtazamo katika masuala yote bila kuwa na hofu na hivyo kupatikana kwa masuluhisho ya matatizo ya kinchi.

Hata hivyo vyombo huru vya habari vianyo nafasi kubwa ya kuhubiria amani, kukosoa , kuhoji na kutafuta masuluhisho kwa kuandaa mijadala mbalimbali. Hivyo ni muhimu vyombo hivi kupewa uhuru wake kwa asilimia zote bila kuingiliwa na kundi lolote au mamlaka fulani. "Hakuna maendeleo ya kweli bila kuwepo kwa uhuru wa vyombo vya habari"
Good lucky ushindi ni wako💓
 
Ukivutiwa Na chapisho usiache kuangusha kura yako kwa kubofya palipoandikwa vote
 
kwa sababu story yako ina ujumbe mzuri sana kwa jamii, umelezea vyema kazi ya vyombo vya habari katika jamii. Hakika story hii imenijenga kimawazo na mtazamo chanya sna ubarikiwe
 
shukrani sana usisahau kuipa vote
 
Asante kwa wote mliokwisha kupiga kura kwa chapisho hili endeleee kushare na wadau wengine
 
Back
Top Bottom