Nafasi ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2024 zinatoka lini? Mbona kama zimechelewa? NECTA mnasemaje?

Kila mwaka hua yanatoka mwanzo wa mwezi wa sita au mwisho wa mwezi wa tano, Kwa hiyo hayajachelewa, tulia
 
Back
Top Bottom