Hakuna kitu kama hicho na hizo sababu nyingine mbili ilizozitaja, unakuwa unarudi palepale kwa sababu inawezekana ikawa kinyume na unavyofikiri.Tatu: Zipo njia nyingi mbadala wa Quarantine 14 days, unaweza kwenda na Kipimo ulichopimwa 14 days ukiwa huko ulikotoka na siku unaingia unapimwa tena hapohapo ndio mnaingia.
Tumefanya usajili mzuri msimu huu,usajili wenye thamani ya billioni 2.5 mmmhh siamini Kama tumekosa nafasi ya kushiriki kombe la shirikisho Afrika msimu huu.[emoji881] Katia kitumbua chetu mchanga na yule [emoji350]mpiga kelele wao MANARA atatupiga vijembe [emoji25][emoji25][emoji25]Leo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa.
Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha Corona ,ila leo kwenye orodha Libya ipo pia nafasi ya 12.
Kwahiyo Tanzania itawakilishwa na vilabu viwili ambavyo ni Simba na Namungo.
Hiyo habari nye ndo mmezusha kwa vile hamna kazi za kufanyaMbona sisi Yanga hatukuwa na hiyo nafasi? Hayo mengine ilikuwa ni ya kufikirika tu!? Poleni sana tumewafunika mbaya hadi mnalazimisha vitu ambavyo hata Fundi Carlinhos anajua! By the way Kuku kishingo anaendeleaje baada ya kuzabuliwa vibao na terminator!?
tutaenda kwa nguvu zetu wenyeweLeo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa.
Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha Corona ,ila leo kwenye orodha Libya ipo pia nafasi ya 12.
Kwahiyo Tanzania itawakilishwa na vilabu viwili ambavyo ni Simba na Namungo.
π½π π π πππππππ ππππππππππππ πππππ π’π ππππππ ππππππ ππππππ ππππππ ππ πππππππMbona sisi Yanga hatukuwa na hiyo nafasi? Hayo mengine ilikuwa ni ya kufikirika tu!? Poleni sana tumewafunika mbaya hadi mnalazimisha vitu ambavyo hata Fundi Carlinhos anajua! By the way Kuku kishingo anaendeleaje baada ya kuzabuliwa vibao na terminator!?
Yasipofanyika mwaka huu mwakani yakifanyika wanaenda mabingwa wa mwaka uliopita kwa hiyo hata mwakani hauna nafasi maana ubingwa haupati labda mwaka keshokutwaHakuna kitu kama hicho na hizo sababu nyingine mbili ilizozitaja, unakuwa unarudi palepale kwa sababu inawezekana ikawa kinyume na unavyofikiri.
Kwa ufupi, hakuna uhakika wa haya mashindano kufanyika.
Yasipofanyika mwaka huu mwakani yakifanyika wanaenda mabingwa wa mwaka uliopita kwa hiyo hata mwakani hauna nafasi maana ubingwa haupati labda mwaka keshokutwa
Kwani mwaka jana Mnyero FC walishiriki?Yasipofanyika mwaka huu mwakani yakifanyika wanaenda mabingwa wa mwaka uliopita kwa hiyo hata mwakani hauna nafasi maana ubingwa haupati labda mwaka keshokutwa
πππ ππ πππ πππππ ππππ π ππ πππππ πππ 2030 ππππ πππππππππππ πππππππππ ππ π’π’ πππ’πππ’ππ ππ πππYasipofanyika mwaka huu mwakani yakifanyika wanaenda mabingwa wa mwaka uliopita kwa hiyo hata mwakani hauna nafasi maana ubingwa haupati labda mwaka keshokutwa