Nafasi za Ajira,wenye vipaji vya uandishi wa habari

Nafasi za Ajira,wenye vipaji vya uandishi wa habari

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,181
Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga.

Kwa mujibu wa tangazo lao , jumla ya nafasi 6.

Habari za Burudani & Udaku – nafasi 4

Masuala ya Kijamii – nafasi 2

Miongoni mwa sifa zinazohitajika ni :-
kuwa mkazi wa Dar es Salaam, kuwa tayari kufanya internship, kuwa na vyeti vya kitaaluma kuwa mbunifu, mwenye bidii na shauku kubwa ya kazi ya utangazaji.

Aidha, tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni Septemba 15, 2025, na waombaji wanatakiwa kuwasilisha maombi yao moja kwa moja katika ofisi zao zilizopo Mori Road, Sinza – Dar es Salaam, au kwa mawasiliano kupitia namba zao 0687 531 251.

Kwa mujibu wao wanavyodai Global TV, lengo la nafasi hizo ni kuwapa vijana wenye vipaji fursa ya kukuza taaluma zao katika tasnia ya habari na burudani.
 
Attach hilo tangazo
Huna akili we Kila kitu kinajieleza hapo unataka attachment ya Nini?
Kampuni si imeandikwa hapo kwanini muhitaji wa Ajira asifuatilie kama hajaamini nilichokiandika?

Wewe ni Mpumbavu
Na kama huna Ajira kwa stahili hiyo itakuwa ngumu kwako kupata Ajira.
Mi sio mtumishi wako,nimepost kushare upendo tu
 
Kuwa na busara mkuu
 
Kuwa na busara mkuu
Mi siwezi kukuigizia wema.
Kwangu black ni black na white ni white.
Siwezi Kuona nyeusi nikasema kijivu.
Nakuelezea uhalisia nikikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa nitakuwa sikujengi ila nakuharibu.
Mfano hapo sitegemei kama Kuna siku nitashare nafasi za Ajira ukaniuliza tena swali la kijinga kama hilo.
Maana kama una utimamu wa akili utakuwa umejifunza japo umejifunza kwa njia isiyo rafiki
 
Huna akili we Kila kitu kinajieleza hapo unataka attachment ya Nini?
Kampuni si imeandikwa hapo kwanini muhitaji wa Ajira asifuatilie kama hajaamini nilichokiandika?

Wewe ni Mpumbavu
Na kama huna Ajira kwa stahili hiyo itakuwa ngumu kwako kupata Ajira.
Mi sio mtumishi wako,nimepost kushare upendo tu
Umekua mkatili sana.
 
Back
Top Bottom