Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hii nchi ina viongozi wa hovyo maana wao kila mambo wanafanya kisiasa tu yani hawapo serious. Kazi kama ya kuwa karani wa sensa au supervisor wanasema sifa awe amamaliza form four?, zoezi Zito kama hili linalohitaji umakini unampa form four nakati Kuna wasomi lukuki.

Haya Sasa piga mahesabu Tanzania nzima waliomaliza form four to above ni wa ngapi. Huo mchujo watauweza au wanatafuta popularity ya kisiasa wapendwe mpaka na mbumbumbu. halafu hizi chaguzi za makarani na wasimamizi wa sensa wangewaachia halmashauri na vitongoji vyake sio NBS maana kwa NBS kufanya screening kwa applicants zaidi ya million 15 sio kitu rahisi. Ngoja tusubiri ila mm si apply maana huu ni utoto.
 
Msaada wadau namba ya NIDA inaandika invalid,au had uwe na hardcopy?
 
Kwenye Kijiji/mtaa hakuna uchaguzi na ukijaza inagoma kwenda fomu msaada kwa aliyekamilisha hapo amefanyaje? Maana kila sehemu unataka ujaze
 
Msaada wadau namba ya NIDA inaandika invalid,au had uwe na hardcopy?
Umesoma vigezo vyote kwa umakini? Soma TANGAZO rudia mara nne mpaka mara tano ikiwezekana uwe na peni na karatasi unachukua important notes baada ya kuelewa vizuri vuta pumzi muombe mungu andaa nyaraka zako vizuri na wadhamini hakiki taarifa zako Soma TANGAZO tena mara ya mwisho pumzika baada ya masaa kaza Anza applications. Acha pupa.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…