Ngao ya Sponji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 341
- 542
Sijasema wanachuo wote ndugu,ila ninachosema kujulikana ni muhimu pia unahis kama uchaguz ulikua unazingua alafu posti kodi ukaonesha uvivu kupitia ripoti yako kila siku je mtendaji mwenye akili timamu atakuchukua na kuacha wachapa kazi kisa una degree?Kwa hiyo unataka kusema wanachuo wote hawakupitia hiyo olevel na wameanza tumia smart baada ya kupata boom. Unajua ufanisi wa kutumia simu na computer kwa mtu wa chuo na wa mtaani ni tofauti
Mkuu ungefuta hiiMimi nina wazo!
Kama vipi Kila mmoja aweke jina lake na sehemu aliyoomba na nafasi,
Halafu tutengeneneze pdf yetu Kila mmoja awepo halafu tunaiprint tunawapelekea nbs au mnaonaje
Kabisa dah hahahahahhaMimi nina wazo!
Kama vipi Kila mmoja aweke jina lake na sehemu aliyoomba na nafasi,
Halafu tutengeneneze pdf yetu Kila mmoja awepo halafu tunaiprint tunawapelekea nbs au mnaonaje
Sisi jobless sio washamba kiasi hicho wapo walioshika zaidi ya hiloMimi niuze japo jicho,acha bange dogo sie tunafikiria kuwauzia japo toys hawa jobless watakaoshika laki 9 kwa Mara ya 1 toka waje Duniani wakiwa uchi
Nmepitia comments zako mbili za mwisho, nmejiridhisha pasina shaka kuwa una chuki na degree holders, unaleta kigezo cha kujuana na watendaji mara wameanza kutumia smartphone wakiwa chuo... Mkuu stay calm hauna point yoyote tukutane kwenye usaili.Sijasema wanachuo wote ndugu,ila ninachosema kujulikana ni muhimu pia unahis kama uchaguz ulikua unazingua alafu posti kodi ukaonesha uvivu kupitia ripoti yako kila siku je mtendaji mwenye akili timamu atakuchukua na kuacha wachapa kazi kisa una degree?
Haiwezekani,pia swala la simu na computer lipo kwenye upande wa interest zaidi kama hauna interest ya viti ivyo huwezi ju hata kuna kitu kinaitwa whatsapp web.
Sawa mkuu.Nmepitia comments zako mbili za mwisho, nmejiridhisha pasina shaka kuwa una chuki na degree holders, unaleta kigezo cha kujuana na watendaji mara wameanza kutumia smartphone wakiwa chuo... Mkuu stay calm hauna point yoyote tukutane kwenye usaili.
Over.
Me mwenyewe nimemuambiaNmepitia comments zako mbili za mwisho, nmejiridhisha pasina shaka kuwa una chuki na degree holders, unaleta kigezo cha kujuana na watendaji mara wameanza kutumia smartphone wakiwa chuo... Mkuu stay calm hauna point yoyote tukutane kwenye usaili.
Over.
Sasa ana shida gani na degree za watu? anajua walizipataje? hana budi kukaa kwa kutulia.[emoji23][emoji23][emoji23]Nmepitia comments zako mbili za mwisho, nmejiridhisha pasina shaka kuwa una chuki na degree holders, unaleta kigezo cha kujuana na watendaji mara wameanza kutumia smartphone wakiwa chuo... Mkuu stay calm hauna point yoyote tukutane kwenye usaili.
Over.
Kujuana republic.Ujue kijana wa degree anatend kuwa bishoo sometime na ujuaji mwingi,sasa kama mtendaji anahusika kwenye kuchagua watu wa mtaani kwake chini ya usimamizi wa nbs au wilaya unahisi atachukua yupi akiunganisha na uzoefu wa POSTIKODI?
Maana kigezo cha kutumia smartphone kuna watu wameanza kutumia alipofika chuo kapata boom ila kuna mtoto mtaani kaanza tumia smartphone yupo o level.
Pona ponq yako angalau awe amesha wahi kukuona ofisin ulikuja kutaka huduma flani hata mkaongea
Hisia zangu tu
Watendaji watashiriki semina ya Makarani na wasimamizi itakayofanyika tarehe 29 mpaka 18 mwezi ujao. Idadi ya wakufunzi ilikuwa ndogo, hivi karibuni wamewachkua Maafisa Maendeleo na hivi sasa wako semina Dom.Mwanzoni taarifa zilisema usaili utasimamiwa na watu wa takwimu kupitia kwenye kata na wilayani, lkn mpaka kufikia muda huu siku zimeisha tayari, lolote laweza kutokea. Mana hata hao watendaji mpaka muda huu hawana tofauti na wewe hawajui chochote kinachoendelea.
[emoji1787][emoji1787]Hii comment yako umeanza kama mtendaji lakini umemaliza kama jobless, kweli vituko haviwezi kuisha