Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Attachments

  • IMG_20220713_102749_506.jpg
    IMG_20220713_102749_506.jpg
    37.7 KB · Views: 12
Mbona nimeongea na jamaa wa NBS anasema kila kitu tayari na simu washapigiwa watu
Au huyu kijana hayuko update na ofisi yake?
 
Msimu huu hapana aseee

imagine kuwa shabiki wa Liverpool ukose ubingwa wa EPL, na UEFA then uwe shabiki wa simba ukose Ligi kuu na kombe la azam at the same time uwe ni muhimu wa elimu ya juu ualimu pdf la TAMISEMI nalo ukose

yaani umebakiza Sensa tu nayo itakuacha
Na utume nauli demu asije.na demu wako akuache..
 
Watendaji watashiriki semina ya Makarani na wasimamizi itakayofanyika tarehe 29 mpaka 18 mwezi ujao. Idadi ya wakufunzi ilikuwa ndogo, hivi karibuni wamewachkua Maafisa Maendeleo na hivi sasa wako semina Dom.

Kwahiyo, kilichobaki Ni majina tu ya watu.
Nakazia. Taarifa ni muhimu tuizingatie. Majina yatatokq soon shule zikifungwa
 
Back
Top Bottom