Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mkuu tupe tips hizo Za Utumishi, wengine ndo Tumeianza Safari. Utakua umesaidia sana
 
mkuu sio kweli, za ndani zenyewe ni 120,000 per day
Mkuu hiyo wanalipwa maafsa elimu kata ambao tupo mafunzoni muda huu .so kwa mujibu wa muongozo wa nbs makarani,wasimamizi maudhui pamoja na maafsa tehama watalipwa 80000/day but tofaut itakuja siku ya sensa ambayo pesa nyingi watalipwa maafsa tehama wakifuatiwa na wasimamizi wa maudhui then wadodoso ndefu wakifuatiwa na dodoso fupi...na nipo na mshikaji wa nbs hapa anayo pdf kwenye laptop yakee..
 
Nimesota na Nani we bwege kila mtu anasoma kivyake na kufaulu kivyake na kujiongeza kivyake.ukitaka hints za kufaulu oral interview za sekratariet ya Ajira NI PM..uandikiwe night 20 kila mwezi za site na mshahara juu
Mkuu mimi nishakula namba kitambo ase sema dharau ndo sina coz nimetoka mtaani wauni ndo waliokuwa wananipa michongo tatizo ni niliajiriwa mkoa tofauti na nilipo kulia ila kila nikipata wasaa wa kutembea hm lazima nikaonane na wana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!
 
Tutasikia mengi.
 
Ramli kama ramli nyingine tu
 
Sirudishi hata nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…