Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tupe tips hizo Za Utumishi, wengine ndo Tumeianza Safari. Utakua umesaidia sana
wazabuni wasiwe kama wale wa uchaguzi japo wahuni tulikua tunapiga doubleKwenye semina msosi wa maana utakuwepo ?
Kama vile vyuku ?
Mkuu hiyo wanalipwa maafsa elimu kata ambao tupo mafunzoni muda huu .so kwa mujibu wa muongozo wa nbs makarani,wasimamizi maudhui pamoja na maafsa tehama watalipwa 80000/day but tofaut itakuja siku ya sensa ambayo pesa nyingi watalipwa maafsa tehama wakifuatiwa na wasimamizi wa maudhui then wadodoso ndefu wakifuatiwa na dodoso fupi...na nipo na mshikaji wa nbs hapa anayo pdf kwenye laptop yakee..mkuu sio kweli, za ndani zenyewe ni 120,000 per day
Nakumbuka post kodi nilikula vyukuwazabuni wasiwe kama wale wa uchaguzi japo wahuni tulikua tunapiga double
kwakua ilikua wakat wa mama samia ila wakat ule ulikua wa maguNakumbuka post kodi nilikula vyuku
Mkuu mimi nishakula namba kitambo ase sema dharau ndo sina coz nimetoka mtaani wauni ndo waliokuwa wananipa michongo tatizo ni niliajiriwa mkoa tofauti na nilipo kulia ila kila nikipata wasaa wa kutembea hm lazima nikaonane na wanaNimesota na Nani we bwege kila mtu anasoma kivyake na kufaulu kivyake na kujiongeza kivyake.ukitaka hints za kufaulu oral interview za sekratariet ya Ajira NI PM..uandikiwe night 20 kila mwezi za site na mshahara juu
Duuh angekuwepo magu tungeambulia maji ya uhaikwakua ilikua wakat wa mama samia ila wakat ule ulikua wa magu
Tutasikia mengi.Kuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!
Ramli kama ramli nyingine tuMkuu hiyo wanalipwa maafsa elimu kata ambao tupo mafunzoni muda huu .so kwa mujibu wa muongozo wa nbs makarani,wasimamizi maudhui pamoja na maafsa tehama watalipwa 80000/day but tofaut itakuja siku ya sensa ambayo pesa nyingi watalipwa maafsa tehama wakifuatiwa na wasimamizi wa maudhui then wadodoso ndefu wakifuatiwa na dodoso fupi...na nipo na mshikaji wa nbs hapa anayo pdf kwenye laptop yakee..
Sirudishi hata nnKuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!
Ndugu wajumbe, hii ramli tuikubali au tuikatae?Kwan mujibu wa mwongozo ambao nimeusoma kuna sehemu niliupata jana.
Majina yanatangazwa tarehe 16-18
usaili tarehe 19-21.
Majina yatabandikwa kwenye kata yako.
kipaumbele wasio na ajira
Majina Hadi tarehe 28 BwaMdogoWanaboa na watoe majina tujielewe