Unalala sana, moshi yametoka tangu mchanaMwenye pdf ta majina ya makarani. Halmashauri za moshi vijijini , na moshi manispaa aweke hapa please
Arusha tayari nenda kwenye file la moshi, wameunganishaArusha....sijaona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watendaji huu ndio wakati wetu! Yaani simu zinaingia mpaka kero
Arusha bado, iyo ni kata inaitwa arusha kati iko moshi haina maana mkoa wa arusha.Arusha tayari nenda kwenye file la moshi, wameunganisha
Mwenye pdf ya nyamagana tafadhar
Upo ushokora auAliye na link au mkeka wa Kaliua plz,tupia hapa