Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Na watakao wafanyia usahili watahiniwa wa nafasi za sensa sio watendaji wa kata tena bali ni walimuu wakuu kutoka shule kadhaa ambao majina yao yameshapelekwa Wilayani pamoja na waratibu elimu Kata..

Nawapongeza NBS kwa hili maana itaondoa ile dhana mtendaji ndio mwenye maamuzi ya mwisho so kila mtu atapata haki yake .[emoji857][emoji857]

Watendaji wa Kata na Vijiji hawatahusika katika usahili ila watakuepo kwenye semina zinazoanza tarehe 29.Kama una vigezo na unaamini katika Mungu wako amini kua utapata [emoji120]

Majobless wenzangu tusikate tamaa hii ni nafasi nzuri ya kuanzia maisha kama tukifanikiwa kupata kiinua mgongo cha sensa[emoji122][emoji122]
Semina inaanza tarehe ngapi....???
 
Back
Top Bottom