Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe upo upande upi.?Walimu kupewa jukumu la kusimamia usaili mpaka hapa tayari ni kosa la kiufundi maana kitakachofanyika ni walimu kubebana wao kwa wao kwa sababu sidhani kama mwl atamwacha mwl mwenzie yaani rafiki yake amchukue jobless graduate. It is IMPOSSIBLE narudia tena lT IS IMPOSSIBLE
[emoji15]KWA moshi Uru Kusini mpo zaidi ya 400 afu wengi wanachuo cha mwenge, mumejazana Kama nyuki kwenye mzinga mkaacha baadhi ya kata Kuna watu 80 tu. Subiri panga tu apo hutoboi dogo, narudia tena Uru Kusini hutoboi. Uru Kusini hutoboiOiii mm kata ya uru kusini wewe kata ipi mzee ??
Acha wenge, hakuna hata mmoja alokosa walichokifanya NBS nikurudisha apllicants wote jinsi walivyo kwenye kata. Hakuna alokosa hata walofoji nida na mengineyo wamewekwa, yani kama ulituma NBS basi upo kwenye kata.
Bao la mkono tayariWalimu kupewa jukumu la kusimamia usaili mpaka hapa tayari ni kosa la kiufundi maana kitakachofanyika ni walimu kubebana wao kwa wao kwa sababu sidhani kama mwl atamwacha mwl mwenzie yaani rafiki yake amchukue jobless graduate. It is IMPOSSIBLE narudia tena lT IS IMPOSSIBLE
Nakazia[emoji15]KWA moshi Uru Kusini mpo zaidi ya 400 afu wengi wanachuo cha mwenge, mumejazana Kama nyuki kwenye mzinga mkaacha baadhi ya kata Kuna watu 80 tu. Subiri panga tu apo hutoboi dogo, narudia tena Uru Kusini hutoboi. Uru Kusini hutoboi
Hii sio taarifa kutoka NBS, hii ni halmashauri tu wameandika wakidhani wapo walokosa kumbe hapana, NBS wamerudisha majina yote kwenye halmashauri. Acha ligi dogo haya mambo mm najua A to ZView attachment 2293725
Soma hiyo haya ya tatu, kwenye hiyo nyaraka.
Ndio majaji yaani😂Acheni bifu na walimu..
Walimu hawaitaki sensa ila sensa Yenyewe Ndio inawataka walimu
Sawa ingawa naskia mpaka kesho sijuiPoa na wewe ukiziona nitag mkuu tuone kama tupo au
Hii sio taarifa kutoka NBS, hii ni halmashauri tu wameandika wakidhani wapo walokosa kumbe hapana, NBS wamerudisha majina yote kwenye halmashauri. Acha ligi dogo haya mambo mm najua A to Z
😆😆Nao wameomba ila wapo cool tu, hawana mdomo mdomo kama maticha.
Shida ni kwamba maticha wamejimilikisha hizi deal na kuona kwamba wao ndio wanastahili kuliko wengine.
by the way waachieni walimu wafanye hizi kazi maana wao Wana maadili ya kazi kuliko majobu lesi.
Tulikuambia ukaleta ubishi wako😆😆Yani kuna watu humu wanawashwa washwa wakivimbiwa tu kande wanakuja kutoa maushuzi yao humu..Hili zoezi ni la wazi hakuna janja janja mpaka taarifa rasmi itakapotoka ndio mengine huko katani na wilayani yataendelea,.
Ila sio mtu anatoka tu huko mara kuna watu wamepigiwa simu jana jioni mara kuna kikundi cha watu kimeanza semina leo asubuhi,mara kuna walimu Meru wameambiwa watume majina wilayani..Walimu tulizeni mshono mpaka NBS watoe taarifa rasmi acheni porojo kesho muwahi saa 11 asubuhi kuhesabisha namba na baridi hii,msiwape sonona ma jobless.
Watu hawajui hakuna cha kushukuru, kila alieomba amepata kimbembe ni katani, najiuliza mantiki ya kukaa na majina miezi miwili ni nini?Acha wenge, hakuna hata mmoja alokosa walichokifanya NBS nikurudisha apllicants wote jinsi walivyo kwenye kata. Hakuna alokosa hata walofoji nida na mengineyo wamewekwa, yani kama ulituma NBS basi upo kwenye kata.
Watu wanavyosema hii nchi ina mambo ya hovyo muwe mnaelewa mifano halisi sasa inajitokeza namna hiyo na bado vitu vizito vinakuja soon..Watu hawajui hakuna cha kushukuru, kila alieomba amepata kimbembe ni katani, najiuliza mantiki ya kukaa na majina miezi miwili ni nini?
Mkuu nitupie ya Shinyanga dc kama yapoMajina ya Meatu DC nimeyaona.
Ili ukipigwa na kitu kizito usipate muda wa kulalamika kusumbua watu. Majibu ya usaili yanatoka leo kesho semina, unalalamika wenzako wanapiga mpunga.Watu hawajui hakuna cha kushukuru, kila alieomba amepata kimbembe ni katani, najiuliza mantiki ya kukaa na majina miezi miwili ni nini?
Ndio hivyo nadhani pia wengi hawapo maeneo walioomba, nilichokiona hapa competition hipo kwenye kata husika kuna sehemu wanafika 300 sehemu zingine ni 50 tuIli ukipigwa na kitu kizito usipate muda wa kulalamika kusumbua watu. Majibu ya usaili yanatoka leo kesho semina, unalalamika wenzako wanapiga mpunga.
Na kila kata hawatazidi watu 5 watakao chukuliwa daaah ! kuna nafas ndog mnooo ya kutoboa kwa walioomba. yote kwa yote bila conection hatobei mtuNdio hivyo nadhani pia wengi hawapo maeneo walioomba, nilichokiona hapa competition hipo kwenye kata husika kuna sehemu wanafika 300 sehemu zingine ni 50 tu