Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Walimu kupewa jukumu la kusimamia usaili mpaka hapa tayari ni kosa la kiufundi maana kitakachofanyika ni walimu kubebana wao kwa wao kwa sababu sidhani kama mwl atamwacha mwl mwenzie yaani rafiki yake amchukue jobless graduate. It is IMPOSSIBLE narudia tena lT IS IMPOSSIBLE
Wewe upo upande upi.?
 
Acha wenge, hakuna hata mmoja alokosa walichokifanya NBS nikurudisha apllicants wote jinsi walivyo kwenye kata. Hakuna alokosa hata walofoji nida na mengineyo wamewekwa, yani kama ulituma NBS basi upo kwenye kata.
Screenshot_20220717-054556_Office.jpg

Soma hiyo haya ya tatu, kwenye hiyo nyaraka.
 
Walimu kupewa jukumu la kusimamia usaili mpaka hapa tayari ni kosa la kiufundi maana kitakachofanyika ni walimu kubebana wao kwa wao kwa sababu sidhani kama mwl atamwacha mwl mwenzie yaani rafiki yake amchukue jobless graduate. It is IMPOSSIBLE narudia tena lT IS IMPOSSIBLE
Bao la mkono tayari
 
Yani kuna watu humu wanawashwa washwa wakivimbiwa tu kande wanakuja kutoa maushuzi yao humu..Hili zoezi ni la wazi hakuna janja janja mpaka taarifa rasmi itakapotoka ndio mengine huko katani na wilayani yataendelea,.

Ila sio mtu anatoka tu huko mara kuna watu wamepigiwa simu jana jioni mara kuna kikundi cha watu kimeanza semina leo asubuhi,mara kuna walimu Meru wameambiwa watume majina wilayani..Walimu tulizeni mshono mpaka NBS watoe taarifa rasmi acheni porojo kesho muwahi saa 11 asubuhi kuhesabisha namba na baridi hii,msiwape sonona ma jobless.
Tulikuambia ukaleta ubishi wako😆😆
 
Acha wenge, hakuna hata mmoja alokosa walichokifanya NBS nikurudisha apllicants wote jinsi walivyo kwenye kata. Hakuna alokosa hata walofoji nida na mengineyo wamewekwa, yani kama ulituma NBS basi upo kwenye kata.
Watu hawajui hakuna cha kushukuru, kila alieomba amepata kimbembe ni katani, najiuliza mantiki ya kukaa na majina miezi miwili ni nini?
 
Back
Top Bottom