Halmashauri zinafanya uhuni Sana na ni uhuni wa kitoto Sana. Kila mtu anajua haikuwa rahisi kwa namba ya NIDA kutumika zaidi ya Mara moja na sio rahisi rahisi kuomba nafasi zaidi ya moja kwa Mara moja, Sasa huyo mtu imekuwaje ametanikiwa kuomba nafasi zaidi ya moja?
Ohoooo!!!!..Kinondoni bado, hadi keshokutwa
mpwayungu kama mpwayungu 😂😂😂[emoji15]KWA moshi Uru Kusini mpo zaidi ya 400 afu wengi wanachuo cha mwenge, mumejazana Kama nyuki kwenye mzinga mkaacha baadhi ya kata Kuna watu 80 tu. Subiri panga tu apo hutoboi dogo, narudia tena Uru Kusini hutoboi. Uru Kusini hutoboi
Sasa wanachuo wa mwenge si wapo karibu na UE hawawezi kusimamia sensa haompwayungu kama mpwayungu 😂😂😂
Pdf iko wapiringa mambo tayarii huko
Kitu ulichokua hujui, jaribu kuuliza au kutafakari kwa kina kabla hujaongea au kuandika kitu.
Tumia akili kabla hujatumia matako
Sheha sio kiongozi wa dini bali ni kiongozi wa serikali ya mtaa hapo ni lahaja tu iliyotumikaUmesema kweli Hilo lengo la kuwaweka masheha wakaripoti saa 2 kabla ya usaili ni kuwakata wakristo wakiamini hawawezi kuwa wazanzibar nawajua hao viumbe wanaroho mbaya na ni wabaguzi balaaa subiri majina yatoke ndo utaamin vzr
Bado hujajua tu hata matamshi yake ni religion oriented?, nikishasema Allah Akbar haina maana ni uislam Bali ni salamu tu ila ipo kidini zaidi. Zanzibar kule wana umoja unaoitwa Muslim brotherhood huu umoja wa waislam wenye hasira kali na itikadi zao zakidini, saud Arabia iliko makka bado huu umoja waliukataa lakini zanzibar wanejiunga, hawa ni Jihad wakisikia mkristo kapewa kipaombele unajitakia kufaachana
Sheha sio kiongozi wa dini bali ni kiongozi wa serikali ya mtaa hapo ni lahaja tu iliyotumika
@Scars kumbe na wewe ni jobless [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah hii nchi shida inaongozwa kisiasa msukuma na kibajaji wapo bungeni ila akili kubwa kama hizi zinazurura mitaani na kunywa balimi na ndovu.Kwa hiyo siku hizi hadi kutoa majina ya waliopita mpaka connection?
Mi sio jobless mkuu nina kazi yangu ila sio ya kiofsa, usiniweke kwenye viwango vya juu ikafika siku mshindwe kuniungia buku la vocha pale ambapo nitakuwa nimekwama@Scars kumbe na wewe ni jobless [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah hii nchi shida inaongozwa kisiasa msukuma na kibajaji wapo bungeni ila akili kubwa kama hizi zinazurura mitaani na kunywa balimi na ndovu.
Itakuwa ni form 4 hao, hawajui mapicha picha ya graduates.Huwa nikiwaambia hao waombaji ni wachache sana ukilinganisha na nafasi zilizopo huwa wana nishangaa sana hawajawahi kukutana na nyomi la utumishi.
Ukiona Tabora Nzega ni tag mkuusumbawanga vijijiniView attachment 2294000
Mkuu una elimu gani? Yaan hauwez hata kutofautisha document fake na original???Halmashauri zinafanya uhuni Sana na ni uhuni wa kitoto Sana. Kila mtu anajua haikuwa rahisi kwa namba ya NIDA kutumika zaidi ya Mara moja na sio rahisi rahisi kuomba nafasi zaidi ya moja kwa Mara moja, Sasa huyo mtu imekuwaje ametanikiwa kuomba nafasi zaidi ya moja?
Hili zoezi NBS wamefanya kitu Cha ovyo sana kuacha mandate ya maamuzi Serikali za mitaa. Bado siku zipo NBS wanaweza kuondokana na lawama
Kesho ndo mwisho, keshokutwa up to 21st ni interview.Kinondoni bado, hadi keshokutwa
Poor kabisa wewe, editing ipi hapo umeiona. Ebu omba mutu yoyote akutumie majina ya kata ya mpwayungu. Tahila mkubwa weweMkuu una elimu gani? Yaan hauwez hata kutofautisha document fake na original???
Majina ya NBS hayajatolewa in alphabetical order, ukiachilia mbali hayo makosa ya typing kwenye heading... That's editing.
Ukiipata ya Morogoro DC nijulishe kiongozi.Pdf ya morogoro mjini wakuu