CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Mpaka hapo ushaona nani pepo kati Yako na bibi yanguPepo bibi yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka hapo ushaona nani pepo kati Yako na bibi yanguPepo bibi yako
Subiri keshoPDF za jiji la Makala ndo hazipo kabisa
Jamaa itakua kakosa jina lake akaona aingie kweny utapelAcha utapeli
Kesho usiku ndo yanaweza kutoka halafu tangazo litasema fuatilia ofisi yako ya kata uone wapi umepangiwa kwa ajili ya usaili ambao utakuwa keshokutwa...nawaza tu kwa sautiPDF za jiji la Makala ndo hazipo kabisa
Mkuu iringa dc au na mkoa mzimairinga mambo tayarii huko
Hii ramli inafariji sana.Uzi bila ramli haunogi baada ya ya mikeka ramli yangu ni hivi;
Kuna watu majina yametoka ila wapo chuo wanapiga pepa wengine field na wengine wapo mbali na maeneo yao sasa kwa vile siku za usahili zipo karibu wale walioitwa watarajie kupata moja kwa moja coz nafasi nyingi zitakuwa wazi . Mwisho wa ramli
Kuna Kata wako 400 wengine 300, halafu wanahitajika 50 tu[emoji23][emoji23]Uzi bila ramli haunogi baada ya ya mikeka ramli yangu ni hivi;
Kuna watu majina yametoka ila wapo chuo wanapiga pepa wengine field na wengine wapo mbali na maeneo yao sasa kwa vile siku za usahili zipo karibu wale walioitwa watarajie kupata moja kwa moja coz nafasi nyingi zitakuwa wazi . Mwisho wa ramli
HApana mm niliombea wilaya ya huko mikoa ya pwani sema kuna mdau wa nkasiMkuu ww uliombea wilaya ya Nkasi
Mkuu yani 50/300 unaona ajabu??? Me nshawahi kuwa shortlisted Utumishi 5/800.Kuna Kata wako 400 wengine 300, halafu wanahitajika 50 tu[emoji23][emoji23]
Ishatoka ina Mb 3 itafuteMwenye pdf ta majina ya makarani. Halmashauri za moshi vijijini , na moshi manispaa aweke hapa please
Huwa nikiwaambia hao waombaji ni wachache sana ukilinganisha na nafasi zilizopo huwa wana nishangaa sana hawajawahi kukutana na nyomi la utumishi.Mkuu yani 50/300 unaona ajabu??? Me nshawahi kuwa shortlisted Utumishi 5/800.
Mkuu leta na kibaha mjiPwani mkurangaView attachment 2293861