Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nimeongea na mtendaji kata ananiambia Interview ni Juma4, yani keshokutwa😅😅😅

hebu fikiria ndani ya saa 24 kila mtu awe amepata taarifa kamili kuwa jina lake lipo

kama yupo 500miles away atajijua anakujaje kwenye usaili🥵🥵🥵

kama bahati mbaya yuko selo, hospitali kalazwa atajijua
 
.
img_1658051868158.jpg
 
Uzi bila ramli haunogi baada ya ya mikeka ramli yangu ni hivi;

Kuna watu majina yametoka ila wapo chuo wanapiga pepa wengine field na wengine wapo mbali na maeneo yao sasa kwa vile siku za usahili zipo karibu wale walioitwa watarajie kupata moja kwa moja coz nafasi nyingi zitakuwa wazi . Mwisho wa ramli
 
Hii ramli inafariji sana.
 
Kuna Kata wako 400 wengine 300, halafu wanahitajika 50 tu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom