Lost Purpose
Member
- Jun 16, 2022
- 26
- 18
National Bureau of Statistics Interview 3, 2022
National Bureau of Statistics Call for Interview, National Bureau of Statistics Vacancies, Kuitwa Usaili ajira za Sensa 2022
ajirampya360.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajirampya360.com
Unateseka ukiwa kata ipi?Walimu pamoja na kwamba wako kwenye system mwisho wa mwezi account inasoma bima safi matibabu ni uhakika fursa ya kuchukua mikopo lakini bado wana tamaa ya kutaka zaidi hizi fursa wangepewa kipaumbele jobless ili wajiajiri au mwenye nacho uongezewa
Kwema mkuu?Mungu anisaidie nipate hiyo kazi ya muda, malipo hata yakiwa laki 4 itanifungulia njia nyingine za kipato.
Kwanini mkuuKwa situation inavosomeka naona kila dalili ya kuumia kwa sehemu za Siri kwa hizi siku 2
Jiongeze basi na wewe daahKwanini mkuu
Hao hawatasimamia maana wapo busy na kujiandaa na UE nina mdgo wangu yupo mwenge aliniambiaga kuwa yeye haombi sensa maana itaangukia kwenye ratiba zao za kumaliza semiseterChuo kikuu ushirika wana anza UE kesho j3 mmzee hapo ni panga la panga kuwapurusha jamani maskini !!!
Haha nkija liwale tukutane samona au wamo guestMwenye majina ya wilaya ya Liwale-Lindi atupie hapa nijione Kama nimo[emoji120]
Unatumia ID 2?Aamiin
Ukiwa na maana kwamba???Uhuni mwing
Maninaa [emoji16][emoji16][emoji1787]
Dar mpaka Moro kumekuwa kugumu mpaka muda huuDar ndo hawataki kutoa
Wanazingua kinoma aiseeeDar mpaka Moro kumekuwa kugumu mpaka muda huu
Goli la mkono
oya 🤣🙏🤣mi sija apply na ninaenda kwenye usaili mamaee itajulikana uko uko Nchi yetu sote hii bana,yanaweza jirudia yale ya uchaguzi napata nafasi getini siku ya semina