Lema ndio nani wewe PIMBI??Yaan Arusha toka aondok Lema matatiz tu mpak sahiv wakurugenz wapo na majin cjui wanayafanyia nn? Atakaepat ya Arusha anitag plz
Mtendaji anasema bado. Tule kitunguu swaumu. Tushushe pressureSijaona mkeka wa Dar es salaam hata mmoja
Huwez mjua, We subiria posho zenu mlizozulum wananch.Lema ndio nani wewe PIMBI??
PDF kata ya Sakina Arusha.
Huwez mjua, We subiria posho zenu mlizozulum wananch.
Kuna form 4 mwenye upeo kuliko wewe mwenye degree ya procurementTaifa la wapumbav
Unawekaje kilaza WA Form 4wakati kuna lundo la wasomi kitaa ?
😂😂 HR wanaamini sana watu wa undergraduate na postgraduate mnaweza kujiajiri sio kugombaninia michongo ya ivi sema nini jiandae na usaili na maombi mengiTaifa la wapumbav
Unawekaje kilaza WA Form 4wakati kuna lundo la wasomi kitaa ?
Miezi kadhaa! Kwani application ilikuwa lini?Jaman mwenye mkeka wa Kibaha mjini ... Nataka kumuangalia X demu wangu ..yaan nilimjazia mafomu yale, kuprint kila kitu gharama juu yangu baada ya miezi kadhaa akanipiga kibuti
Sasa nataka nijie kama dua zangu zitakuwa zimesikilizwa na Sir God au laaa
Ndugu ndio umeamka kutoka usingizini nn ? Zoezi la kuomba sililianza tangia mwezi wa 5 huko ...
Doooh hiyo nomaTehama
Kweny kata ulipoombea majin hawajabandik ?Mwenye pdf ya mwanza - ilemela MC anisaidie ndugu zangu