Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nawewe ni zero brain..hujaelewa kilichoandikwa...Soma,elewa then lete point!! Kwani ukiwa na degree ndo uelewa wko ni mkubwa kuliko 4m4???hapa suala ni sensa kupewa hao 4m4 na degree kuachwa,ndo nauliza 4m4 Hana haki ya kufanya hii kazi??? Kuna elimu gani saaaaana inahitajika had 4m4 ashindwe?? Ko lete hoja kijana usibwatukeUmeandika Upupu Tuuu,, hao wasomi wanausumbufu gani? yaan Ww unauhakika Kuwa Wasomi ni wasumbufu kuliko Form 4 ebu lete ushahidi hapa....Eti uchukue kilaza aliyepata mswaki wa hesabu akahesabu watu unamuacha Msomi mwenye uelewa mpana zaidii wa hesabu na Technologia...... Alafu unapanua Domo lako kuongea na kuandika hovyo hovyo,,,,,,, Ebu waacheni waliokomaa Na Elimu mkashindwa kuwaajiri Wapate pesa za kujiajirii
hizi kazi sidhani kama zina ajenda yoyote na elimu mtu alonayo either iwe form 4 au zaidi,ni bahati nasibu tu iwepo kwa muhusika.Kumbe nawewe ni zero brain..hujaelewa kilichoandikwa...Soma,elewa then lete point!! Kwani ukiwa na degree ndo uelewa wko ni mkubwa kuliko 4m4???hapa suala ni sensa kupewa hao 4m4 na degree kuachwa,ndo nauliza 4m4 Hana haki ya kufanya hii kazi??? Kuna elimu gani saaaaana inahitajika had 4m4 ashindwe?? Ko lete hoja kijana usibwatuke
Yaani waache form 4 mwenye div 1 tena ya 2006 kushuka chini wachukue mtu mwenye gentleman degree na form 4 ana division 2 au 3???!!!Kumbe nawewe ni zero brain..hujaelewa kilichoandikwa...Soma,elewa then lete point!! Kwani ukiwa na degree ndo uelewa wko ni mkubwa kuliko 4m4???hapa suala ni sensa kupewa hao 4m4 na degree kuachwa,ndo nauliza 4m4 Hana haki ya kufanya hii kazi??? Kuna elimu gani saaaaana inahitajika had 4m4 ashindwe?? Ko lete hoja kijana usibwatuke
Well said ndg...!! Ingawa watu wengine wanajiona muhimu zaidi ya wengine coz Ana kadegree[emoji1787][emoji1787]hizi kazi sidhani kama zina ajenda yoyote na elimu mtu alonayo either iwe form 4 au zaidi,ni bahati nasibu tu iwepo kwa muhusika.
Empty set kabisa wew,, labda Nikuulize uelewa wa Mtu unaupimaje labda?? Yaan Unamuacha Degree or Diploma holder unaenda kuchukua Form 4 Halafu Tukuite unaakili wewe.......Mbaya Zaidi kazi yenyewe inahusisha zaidi matumizi ya Technologiaa Ambapo kwa Asilimia kubwa Aliyefikia Level ya Chuo na kwa Experience ya kazi za chuo na Mifumo ya anauwezo mkubwa zaid wa kuifanya kuliko huyo aliyeishia Form 4 akaenda kuvua samakiKumbe nawewe ni zero brain..hujaelewa kilichoandikwa...Soma,elewa then lete point!! Kwani ukiwa na degree ndo uelewa wko ni mkubwa kuliko 4m4???hapa suala ni sensa kupewa hao 4m4 na degree kuachwa,ndo nauliza 4m4 Hana haki ya kufanya hii kazi??? Kuna elimu gani saaaaana inahitajika had 4m4 ashindwe?? Ko lete hoja kijana usibwatuke
Of course hata mimi sioni haja ya watu kuanza kufight kuhusu kiwango cha Elimu probably DEGREE and Form Four Education is just a piece of Paper but real Education ya mtu tunaijudge the way behaviour yake ilivyo na jinsi gani inamnufaisha hiyo elimu kuna watu wana degree but kiuhalisia ni empty na kuna watu wana Elimu ya Form Four but wanavyoyaona maisha ni kama wana masters ya Ecomonics so, kikubwa kila mtu aombe Mungu kivyake mambo kama hizi za sensa ni bahati yako tuu but kuhusu kiwango cha Elimu sidhani kama lina umuhimu sana kwenye hii na ndo maana serikali nayo ikaja na vigezo kuanzia Form Four mwenye cheti anaweza kuomba hiyo kazi ya muda ya sensa ni jopo la wasomi pia lilikaa na kupitisha hivyo kwa kuona kwamba wenye sifa hizo wanaweza kufaa na isitoshe kuna semina watapewa ya namna gani ishu nzima ya uhesabuji watu itakavyokuwa...Myself sion haja ya kubishana kuhusu kiwango cha elimu hapa nlipo nna degree ya uhasibu IFM Graduator but kwa kaz hii ya sensa na figisu zake yeyote ambaye anajua kuhesab na kutumia smart anawez kufany mtaji miguu tu na nyota yak.
Nb; kwa nafasi ya ukarani tu
[emoji1787][emoji1787]Walimu hawaitaki sensa, sensa Yenyewe ndio inawataka walimu
UZalendo na kazi ngumHamna hela nyingi vijana msiwe na expectations kubwakubwa
Uzalendo nyie huko mmepiga vibunda, sisi ndo mtuminye?Hamna hela nyingi vijana msiwe na expectations kubwakubwa