Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Umeandika Upupu Tuuu,, hao wasomi wanausumbufu gani? yaan Ww unauhakika Kuwa Wasomi ni wasumbufu kuliko Form 4 ebu lete ushahidi hapa....Eti uchukue kilaza aliyepata mswaki wa hesabu akahesabu watu unamuacha Msomi mwenye uelewa mpana zaidii wa hesabu na Technologia...... Alafu unapanua Domo lako kuongea na kuandika hovyo hovyo,,,,,,, Ebu waacheni waliokomaa Na Elimu mkashindwa kuwaajiri Wapate pesa za kujiajirii
Kumbe nawewe ni zero brain..hujaelewa kilichoandikwa...Soma,elewa then lete point!! Kwani ukiwa na degree ndo uelewa wko ni mkubwa kuliko 4m4???hapa suala ni sensa kupewa hao 4m4 na degree kuachwa,ndo nauliza 4m4 Hana haki ya kufanya hii kazi??? Kuna elimu gani saaaaana inahitajika had 4m4 ashindwe?? Ko lete hoja kijana usibwatuke
 
hizi kazi sidhani kama zina ajenda yoyote na elimu mtu alonayo either iwe form 4 au zaidi,ni bahati nasibu tu iwepo kwa muhusika.
 
Kumbe nawewe ni zero brain..hujaelewa kilichoandikwa...Soma,elewa then lete point!! Kwani ukiwa na degree ndo uelewa wko ni mkubwa kuliko 4m4???hapa suala ni sensa kupewa hao 4m4 na degree kuachwa,ndo nauliza 4m4 Hana haki ya kufanya hii kazi??? Kuna elimu gani saaaaana inahitajika had 4m4 ashindwe?? Ko lete hoja kijana usibwatuke
Yaani waache form 4 mwenye div 1 tena ya 2006 kushuka chini wachukue mtu mwenye gentleman degree na form 4 ana division 2 au 3???!!!
 
Ila kusema ukweli watu wanoalalami wengi wapo dar kwenye mbanano wa wasomi.

Kuna baadhi ya vijiji/mitaa watendaji walikuwa wanaenda kubembeleza watu. Mfano mtaa ambao niliomba Mimi tuliorudisha form ni watu 4 tu. Na wanahijika watu 6. Ushauri mkimaliza hizo degree zenu wakati mwingine mrudi vijijini mlikotoka kusubiri ajira.
 
Kumbe nawewe ni zero brain..hujaelewa kilichoandikwa...Soma,elewa then lete point!! Kwani ukiwa na degree ndo uelewa wko ni mkubwa kuliko 4m4???hapa suala ni sensa kupewa hao 4m4 na degree kuachwa,ndo nauliza 4m4 Hana haki ya kufanya hii kazi??? Kuna elimu gani saaaaana inahitajika had 4m4 ashindwe?? Ko lete hoja kijana usibwatuke
Empty set kabisa wew,, labda Nikuulize uelewa wa Mtu unaupimaje labda?? Yaan Unamuacha Degree or Diploma holder unaenda kuchukua Form 4 Halafu Tukuite unaakili wewe.......Mbaya Zaidi kazi yenyewe inahusisha zaidi matumizi ya Technologiaa Ambapo kwa Asilimia kubwa Aliyefikia Level ya Chuo na kwa Experience ya kazi za chuo na Mifumo ya anauwezo mkubwa zaid wa kuifanya kuliko huyo aliyeishia Form 4 akaenda kuvua samaki
 
Myself sion haja ya kubishana kuhusu kiwango cha elimu hapa nlipo nna degree ya uhasibu IFM Graduator but kwa kaz hii ya sensa na figisu zake yeyote ambaye anajua kuhesab na kutumia smart anawez kufany mtaji miguu tu na nyota yak.
Nb; kwa nafasi ya ukarani tu
 
Of course hata mimi sioni haja ya watu kuanza kufight kuhusu kiwango cha Elimu probably DEGREE and Form Four Education is just a piece of Paper but real Education ya mtu tunaijudge the way behaviour yake ilivyo na jinsi gani inamnufaisha hiyo elimu kuna watu wana degree but kiuhalisia ni empty na kuna watu wana Elimu ya Form Four but wanavyoyaona maisha ni kama wana masters ya Ecomonics so, kikubwa kila mtu aombe Mungu kivyake mambo kama hizi za sensa ni bahati yako tuu but kuhusu kiwango cha Elimu sidhani kama lina umuhimu sana kwenye hii na ndo maana serikali nayo ikaja na vigezo kuanzia Form Four mwenye cheti anaweza kuomba hiyo kazi ya muda ya sensa ni jopo la wasomi pia lilikaa na kupitisha hivyo kwa kuona kwamba wenye sifa hizo wanaweza kufaa na isitoshe kuna semina watapewa ya namna gani ishu nzima ya uhesabuji watu itakavyokuwa...
Ni holder wa bachelor of Customs and Taxation Chuo Cha Kodi Dar Es Salaam
 
Hakuna kurudi nyuma kuota kuwa bosi na kupangia mikakati ndoto zako kunaruhusiwa na hakuna gharama wala hasara kwa hiyo mapambano na kujipa matumaini kunaendelea mpaka pumzi ya mwisho itakapokatika bila kujali mara ngapi tumefeli .
sss,small,product,750x1000(5).jpg

.
sss,small,product,750x1000(2).jpg

.
sss,small,product,750x1000(4).jpg
 
Back
Top Bottom