bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Nadhani hii kitu ndio inaanza fanyika kwenye jiji la AmosMikopo ipo halmashauri kwa vijana (mwisho miaka 35). Ila upatikanaji wake ni kwa mbinde sana. Ingetolewa kama individual loan na siyo kwa vikundi kwani kila kijana ana malengo yake na uwezo wake. Vikundi vingi vimefeli
Mkuu una ufala mwingi kama Manara! Muombee tu apate!Jaman mwenye mkeka wa Kibaha mjini ... Nataka kumuangalia X demu wangu ..yaan nilimjazia mafomu yale, kuprint kila kitu gharama juu yangu baada ya miezi kadhaa akanipiga kibuti
Sasa nataka nijie kama dua zangu zitakuwa zimesikilizwa na Sir God au laaa
Hao wasomi wamelisaidia nini taifa, yaani taifa linawadai mabilioni ya mikopo na hamna faida yoyote kwa jamii zaidi ya kusubiri nguna kwenu.Taifa la wapumbav
Unawekaje kilaza WA Form 4wakati kuna lundo la wasomi kitaa ?
Kati ya mwezi wa tano hadi Leo ni miezi mingapi? Au neno kadhaa siku hizi linamaanisha moja!Ndugu ndio umeamka kutoka usingizini nn ? Zoezi la kuomba sililianza tangia mwezi wa 5 huko ...
Wasije wakatushitukiza maana nimepita kwenye kata yangu hamna mkekaDar wanavutavuta muda mikoani wafanye kwanza usahili ili maswali yapatikane [emoji38]
Hoja yako ina Mashiko! Bokomnemela (Kibaha) Msimamizi wa TEHAMA alieitwa kwenye Interview ni Mmoja tu! Hana mshindani!Ila kusema ukweli watu wanoalalami wengi wapo dar kwenye mbanano wa wasomi.
Kuna baadhi ya vijiji/mitaa watendaji walikuwa wanaenda kubembeleza watu. Mfano mtaa ambao niliomba Mimi tuliorudisha form ni watu 4 tu. Na wanahijika watu 6. Ushauri mkimaliza hizo degree zenu wakati mwingine mrudi vijijini mlikotoka kusubiri ajira.
Hii Tecno unayo tumia ndio shidaa lkn kama ungekuwa ni Non Tecno User wala kusingekuwa na shidaaKati ya mwezi wa tano hadi Leo ni miezi mingapi? Au neno kadhaa siku hizi linamaanisha moja!
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kwan ww umesikia nikisema namuombea akose ?Mkuu una ufala mwingi kama Manara! Muombee tu apate!
Tafuta kazi ya hadhi yako upate mshahara mnono constantly kila mwisho wa mwezi bima ya afya na mafao pamoja na semina na marupurupu ya kutosha ili next time 2032 waachie vijana walau wapate mtaji wa umachinga wewe na elimu yako sio wa kutuma maombi na form IVTaifa la wapumbav
Unawekaje kilaza WA Form 4wakati kuna lundo la wasomi kitaa ?
Duuuh [emoji28][emoji28][emoji28]nahitaji kufahamu kwanini NBS wamekaa kimyaa na hawatoi taarifa zozote juu ya waliochaguliwa kwenda kwenye hatua za usaili? na wakati walisema majina ya waliochaguliwa yakiwa tayari watatoa taarifa na majina tunaona yanatoka na hawatoi taarifa ? hili linamaanisha kitu gani? na Hili nataka niende mahakani kufungua kesi kama hawatatoa taarifa yoyote leo.
NBS TOENI TAARIFA LEO NA KESHO LASIVYO HAPO OFISINI KWENU MTAPAONA PACHUNGU.
Hivi usaili kumbe ni kesho??Zoezi la sensa kuna harufu ya upigaji,kuna sehemu hadi muda huu hakuna majina yaliyotoka alafu kesho usaili.
watatoa taarifa leo na kesho lasivyo utawasikia tu huko wakihangaika na kitakachowakuta wanachezea serikali ya mama samia.Duuuh [emoji28][emoji28][emoji28]
kwa maelezo usaili ni tarehe 19-21Hivi usaili kumbe ni kesho??