Jamani tuwe wapole tu mbona vigezo vilikuwa vinaeleweka vizuriiii, kwamba mwenye elimu kuanzia form four na kuendelea mwenye uzoefu wa kutumia smart phone huo uzoefu usipungue mwaka mmoja. kwa kigezo hicho yeyote anaweza kuchukuliwa awe na mastazi au form four ''D'' isipokuwa watu wa tehama ndio walisema angalau diploma ya hayo maswala ya tehama kwa kifupi hiyo ilikuwa sandakarawe mwenye kupata apate!! Hakuna haja ya kutoana ngeu humu, ukipata endaga, ukikosa unajpiga kifua unasema "hata hivyo sitegemei posho za sensa kuishi mimi" Maisha yaendelee