ingia link ya ajira chap katka teregramKesho saa ngapi? Embu wasaidie watu link za kila manispaa (temeke, kigamboni, ubungo, ilala na kinondoni)
Labda wanaangalia majina ya kuwaita watoto wao wajao!!Yaan Arusha toka aondok Lema matatiz tu mpak sahiv wakurugenz wapo na majin cjui wanayafanyia nn? Atakaepat ya Arusha anitag plz
Hatari saana.Tu hela twa sensa tunapiganiwa balaa.
Dar kuna uhuni nauchungulia kwambaaaaliNahiataj temeke na kino
Halmashauri
hahahahaha daaah hatari tupuuNackia baadhi ya halmashauri,meza imepinduliwa mchana...!!watumishi out....jobless inn..!! Ngoja tuendelee kuangalia movie ya sensa,maana ni km picha la kihindi vile[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]