Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

NATOA TAMKO KWA NBS ,NAWAOMBENI MTOE MAJINA YA WALIOCHAGULIWA NA KATA KWENYE MTANDAO WENU NBS/OCGS KWA ZANZIBAR NA MTOE TAARIFA RASMI YA KINACHOENDELEA ACHENI KUTUSUMBUA WATANZANIA NA ROHO JUU JUU,KUJUA KINACHOENDELEA NI HAKI YETU WATANZANIA ,HILI NI JUKUMU LA MUHIMU SANAAA KITAIFA KWAHIYO SIO LA KUSUMBUANA HIVI.

NAWAOMBENI SANAA NBS/OCGS WEKENI MAJINA MITANDAONI LASIVYO MTASABABISHA MAMLUKI KUJITOKEZA KWENYE ZOEZI HILI NYETI LA KITAIFA.
Wewe uko wilaya gani ambayo bado?
 
Hili tamko ungelitolea Kule mjini Twitter huenda lingewafikia
 
Nackia baadhi ya halmashauri,meza imepinduliwa mchana...!!watumishi out....jobless inn..!! Ngoja tuendelee kuangalia movie ya sensa,maana ni km picha la kihindi vile[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa kwann haya yanatokea na wakati mchakato umeanza. Mimi sio mtumishi ila it's not fair, cha muhimu usaili upigwe bila kuangaliana vyeo then panga lipigwe
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Tangazo la ajira za sensa kionhozi lilitoka tangia April sasa from April to July kaka ni muda gani umepita ?

[emoji38][emoji38][emoji38] Tecno banaa
Kwahiyo demu wako alikupiga chini mara tu baada ya tangazo kutoka? Baki kwenye hoja ,achana na simu?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom