Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nilikwambia kila kitu kinaishia kwenye Kata huku wafanya maamuzi wakiwa ni Walimu Wakuu,Mtendaji na Diwani ukabisha kuwa mambo yote yanaenda kumalizwa na NBS na hakutakuwa na upendeleo wala connection.
Hamna connection??? We jamaa hujui kitu,,kuna halmashauri x ilitoa majina yake ambayo hayakua hata kwenye usaili,watendaji wakaleta noma maana na wao nao pia wana watu wao na wameshakula kibunda,,,,patam apo[emoji23][emoji23]
 
Umeelewa nilichokiandika hapo?
 
Semina ni 20k mkuu kuna sehemu nilisoma, lkn hapo pia kuna 5k ya usafiri
So kweli hawa jamaa wa NBS wanapita hapa mtaani jana nilimmwauliza maswali kama hayo wakanambia kama ikiwa chini bac ni 30 ila pesa nzuri tu na semina siku 21 na pia zoezi ni la siku 11 siku kama 3 za mwisho ni kuhusu majengo ama anwani za makazi,
 
Mwanzo nilikuwa najua ni laki 5 itakayoambuliwa lkn hawa watu wa sensa ngazi ya juu mkoa wanasema mbna ndogo laki 5,pesa Safari ipo kubwa Zaidi ya hiyo laki 5 japo hajanipa uwazi ni bei gani
 
Back
Top Bottom