kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Wewe funga tu tutakuhesabu hata kwa maksio kuwa nyumba hii ina mtu mmoja ambaye alikosa nafasi ya ukarani akasusia sensa[emoji38]Watashangaa watakapokuta nimefunga mlango. Wahesabiane Wenyewe waliopeana kazi
Majna walopta mbeya jiji
Angalia vizuri ulichopost kama utayaona majinaMajna walopta mbeya jiji
Angalia vizuri ulichopost kama utayaona majina
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Tusikilizie polisi 3000 zingine hizo
Hahaha hapana aiseee,mm ntafanya jambo lingineTusikilizie polisi 3000 zingine hizo
Iyo mbona imetumika sana mkuu🤣🤣 . Sehemu nyingi watu wanekwepa Interview lkn kwenye kazi wapo ndaniSiku tunafanyiwa usaji Kuna kijeba hakikuwepo ila jina lake limerudi na katoboa
Atakaepata ya Morogoro DC/MC atupie PDF humuataepata ya morogoro atupie jmn
Ushapata kitengoHahaha hapana aiseee,mm ntafanya jambo lingine
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
HahaaaaaaWewe funga tu tutakuhesabu hata kwa maksio kuwa nyumba hii ina mtu mmoja ambaye alikosa nafasi ya ukarani akasusia sensa[emoji38]
Pole kamanda, mimi bado sijaijua hatima yangu!
Lina watu 2k kwani waliofanya usaili walikua wangapi?Aisee hilo dude la mbeya lina nyomi so poa
Wapi hiyo mzee ?
Duuh mzee wamekukata ?Tulioliwa kichwa tujuane.....[emoji23]
Haijalishi mkuu lakini 2k ni wengi kwa usaili wa kibongo bongoLina watu 2k kwani waliofanya usaili walikua wangapi?
Kweli mzee ngoja sisi tusubiri wilaya zetu za mchongo mwishoniHaijalishi mkuu lakini 2k ni wengi kwa usaili wa kibongo bongo
Kabisa mkuu tuvute subra tu yanKweli mzee ngoja sisi tusubiri wilaya zetu za mchongo mwishoni