Na Mimi Ilala ndio imenikalisha kwenye huu Uzi, kuaga ni jambo la msingi, ukifanikiwa tunakutakia heri Ili usije ukakodolea macho hela ukaharibu wale akina ngoswe wazee wa mbususu lazima tuwaase, kipindi hiki ni kubaya wanachuo wengi wamemaliza mitihani yao kwahiyo mtawakuta huko Kuna tuform six tubich kabisa huko chonde chonde msije mkahonga tablets za serikal hapo lazima tuwaase. Na wale ambao tutakuwa/mtakuwa mmeliwa vichwa hizi ni ajira za muda tu, tukomae/mkomae ka laki 5 kakikupita sio kwamba ndo mengi yamekupita maisha ni haya haya watatumia laki tani zitaisha, si unaona wengine wanawaza kunywea, wengine kubetia, wengine wataenda kuhonga zinaisha, wachache watazifanyia Cha maana. Kwahiyo maisha yanaendelea