Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Hongera hiyo 500k itumie vizuriKata ya Iyela (Mbeya) tulioitwa kwenye usaili makarani 695 na maudhui walikua mia na kadhaa... Makarani waliopenya 146, nashukuru Mungu nimetoboa.
Hata kipindi nakunywa nilikuwa sina helaUliacha pombe wakati huna hela?sema umepumzika.
Hongera sana mkuu,Kata ya Iyela (Mbeya) tulioitwa kwenye usaili makarani 695 na maudhui walikua mia na kadhaa... Makarani waliopenya 146, nashukuru Mungu nimetoboa.
Mkuu 850kHongera hiyo 500k itumie vizuri
Unataka kusema hiyo Kata ina Vitongoji vingapi mpaka watoe wengi kiasi hicho?Kata ya Iyela (Mbeya) tulioitwa kwenye usaili makarani 695 na maudhui walikua mia na kadhaa... Makarani waliopenya 146, nashukuru Mungu nimetoboa.
Ramlii hii chanzo chake ni kipi?Mkuu 850k
Niamini mmi mkuuRamlii hii chanzo chake ni kipi?
Tupe mchanganuo wa Ramli MkuuNiamini mmi mkuu
Humu ramli nyingi😀Tupe mchanganuo wa Ramli Mkuu
Mbeya [emoji24][emoji24][emoji24]Wapi hiyo mzee ?
Ramlii ndo zimefanya mpk vijana wanatukana Serikali sahv[emoji23][emoji23]Humu ramli nyingi[emoji3]
Jaman tupeane utaratibu Kama jina halimo kweny mkeka bc uschangie hoja umu[emoji16][emoji16]Ramlii ndo zimefanya mpk vijana wanatukana Serikali sahv[emoji23][emoji23]
500k ilikuw 2012 round hii wadau watapiga vibunda haswa.Hongera hiyo 500k itumie vizuri
Kinondoni wahuni wengi pale
Hapana 2012 ilikua 600k Kwa 780k kulingana na dodoso fupi/refu.500k ilikuw 2012 round hii wadau watapiga vibunda haswa.
2012 semina ilikuw siku 5
2022 semina siku 21 HONGERA MLIOPATA pesa itakuwa nzuri zamu hii MUNGU NI MWEMA