Mjini hasa kinondoni wajomba wengi, ilikuwa inawezekana kabisa usahili kuisha leo na matokeo kubandikwa siku hiyohiyo au kesho yake ikichelewa sana ila kutokana na uchakachuaji ili wenye wajomba zao wawepo, ndio maana mpaka sasa bilabila. Mbona kuna kata vijijini huko mkeka ulitoka siku hiyohiyo !?Kinondoni wahuni wengi pale
Lakin kwenye yale majiana si waligawa kata zote watu wote waliomba na wanaohitajika manispaa nzima ? mfano sisi kata yetu huku kulikuwa na watu almost 300+ wa nafasi za ukarani wanaohitajika ni 66 tu na maudhui waombaji walikua 116 wanaotakiwa ni saba,,kwahy nafasi moja inagombaniwa na watu wengHivi kata yenye Mitaa 142 inaweza kuwa na karani wangap wa Sensa inshort
Waulizeni watumishi wa umma kuhusu 23.3%So kweli hawa jamaa wa NBS wanapita hapa mtaani jana nilimmwauliza maswali kama hayo wakanambia kama ikiwa chini bac ni 30 ila pesa nzuri tu na semina siku 21 na pia zoezi ni la siku 11 siku kama 3 za mwisho ni kuhusu majengo ama anwani za makazi,
Tehama je?Lakin kwenye yale majiana si waligawa kata zote watu wote waliomba na wanaohitajika manispaa nzima ? mfano sisi kata yetu huku kulikuwa na watu almost 300+ wa nafasi za ukarani wanaohitajika ni 66 tu na maudhui waombaji walikua 116 wanaotakiwa ni saba,,kwahy nafasi moja inagombaniwa na watu weng
Tehama watu wawili
Mkuu we umepata niniKila siku hua nasema usipigie mahesabu pesa ambayo haupo nayo wakati huo pigia mahesabu pesa uliyo nayo yani cash..
Hili zoezi limewachanganya majobless wengi sana wasijue ni wapi kwa kuanzia na wapi kwa kutokea,hii ni ishu ya kawaida sana wakuu ukipata ukikosa yote sawa ni Mipango ya Mungu.Huwezi jua umepangiwa nn na Mwenyezi Mungu.
Unaweza ukawa anajilaumu umekosa nafasi ya kuwa karani au afisa maudhui wa sensa ili upate hiyo laki 5 au 8 kumbe kuna fungu lako Mungu kakuandalia mwezi wa 8 unapata deal la kukuingizia zaidi ya million 1.[emoji857]
Yote ni mema,shukuru Mungu kwa yote na usikate tamaa maana naona wengi humu waliwekeza matumanini yao kwenye sensa kama chaguo la mwisho la maisha yao[emoji120]
Maisha ni safari bado una muda wa kutosha kupambania kombe usikate tamaa kisa hii ajira ya muda mfupi,kuna fungu lako kubwa zaidi linakuja unexpectedly utakula kuku kwa mrija.
Mkuu mimi nilikua town ila nafasi zilipotoka niliomba msimamizi wa maudhui tena kijijini kabisa na idadi ya watu waliiomba ni ndogo sana ila tatizo muongozo unahitaji walimu wakuu tu ndio wawe wasimamizi hivyo sikuweka nia tena japo majina bado hawajatoa na aliyepitisha majina ni mzee wangu mkubwa hivyo ameniweka kama reserve ikitokea chance watanipitisha.Mkuu we umepata nini
Mkeka wa Ilala ndio utaamua mimi kubaki humu au kutobaki kama kutobaki nitakuja kuaga na kusalimia humu.Huu Uzi karibu unafika mwisho hahaha Ilala, Kinondoni wakishatoa mkeka naamini Uzi utamatishwa
Ilala napata wapi, mbona sijayapataHuu Uzi karibu unafika mwisho hahaha Ilala, Kinondoni wakishatoa mkeka naamini Uzi utamatishwa
Sijayaona badoIlala napata wapi, mbona sijayapata
Hahaha! wakina ngoswe wataanza kwenye semina , kama mimi kwenye kata yangu siku ya usahili nilishuhudia pisi kali nyingi mno wengine kama wakina Paula mavazi yao sijui itakuwaje tukiwekwa/wakiwekwa pamoja najua mabaharia hawawezi kuwaacha salama lazima wataanzisha pigo za kimasihara.Na Mimi Ilala ndio imenikalisha kwenye huu Uzi, kuaga ni jambo la msingi, ukifanikiwa tunakutakia heri Ili usije ukakodolea macho hela ukaharibu wale akina ngoswe wazee wa mbususu lazima tuwaase, kipindi hiki ni kubaya wanachuo wengi wamemaliza mitihani yao kwahiyo mtawakuta huko Kuna tuform six tubich kabisa huko chonde chonde msije mkahonga tablets za serikal hapo lazima tuwaase. Na wale ambao tutakuwa/mtakuwa mmeliwa vichwa hizi ni ajira za muda tu, tukomae/mkomae ka laki 5 kakikupita sio kwamba ndo mengi yamekupita maisha ni haya haya watatumia laki tani zitaisha, si unaona wengine wanawaza kunywea, wengine kubetia, wengine wataenda kuhonga zinaisha, wachache watazifanyia Cha maana. Kwahiyo maisha yanaendelea
Sensa hizi zitaleta mambo, zitavunja mahusiano ya watuHahaha! wakina ngoswe wataanza kwenye semina , kama mimi kwenye kata yangu siku ya usahili nilishuhudia pisi kali nyingi mno wengine kama wakina Paula mavazi yao sijui itakuwaje tukiwekwa/wakiwekwa pamoja najua mabaharia hawawezi kuwaacha salama lazima wataanzisha pigo za kimasihara.
Mkeka wa Ilala nausubir kwa hamu sanaHuu Uzi karibu unafika mwisho hahaha Ilala, Kinondoni wakishatoa mkeka naamini Uzi utamatishwa