Coolant
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,190
- 2,031
Ipuli au Igelegele mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipuli au Igelegele mkuu?
Uko Tanga sehemu gn Mkuu?Tanga wanamalizia kupokea rush.wa ndio wayatoe
Inatakiwa iwe ivyoHivi hadi reserve wanaenda semina?
Wote wanaenda na posho mnalipwaHivi hadi reserve wanaenda semina?
Sina Pdf na sijua kama na huko yametoka mimi aliyenipa taarifa ni wa wilaya ya Tandahimba.Nahitaj matokeo kata ya likombe ndugu
[emoji848]pole mkuu
Mkuu hayaonekan hapa sijui ume share vipi
Yako katani.
Mjini vip unayo list ya eneo gani bossUko Tanga sehemu gn Mkuu?
Wewe sawa na mimi... ukipata nitag pleaseWakuu kuna mtu mwenye PDF ya wilaya Ruangwa Mkoa wa Lindi