Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Et wanasensa kwa nn kwenye la umri wa mtu tunaishia mwaka "97"
 
Na kwenye tangazo lao walisema malipo ni 100k kwa siku. Mama anaupiga mwingi sana
 
wadau...leo usiku nitakua naichakamua papuchi ya ticha mmoja hivi matata sana....nilikutana nae kwenye usaili wa sensa.....mana aliniambia nichague kati ya papuchi na ukarani...nikachagua papuchi wadau.
Nachoweza kuwaahidi ni kwamba sitawaangusha wadau. Pole sana kwa waliokosa na hongera sana kwa waliopata.
 
Dodoso la sensa ya watu na makazi lina maswali 100 unaweza kweli kuhoji kaya 25 kwa Siku kila mwanakaya maswali 100 ukaguwe na vyeti na kwenye semina umelishwa vitumbua na hela ya nauli unakata kwenye 40k [emoji16][emoji16][emoji16]
Unajua kuna maswali mengjne huwa yanajijibu huko mbele.

Mfano.
Karani wa sensa anakwenda kwenye chumba cha mtu mmoja kama rikiboy
Jina: jinsi, hali ya ndoa, majina ya watoto, halinya ulemavu yanakuwaga default kutokana na mazingira na mwonekano na mtu.. so karani hana haja ya kumuuliza... wewe ni mlemavu wakati unamuona mtu yupo vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…