Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nimeamin Kwa NN kamisaa alisema hii KAZ NI ya kizalendo
Ss majobless cjui Kama tutapata mitaji
Kwa jinsi kazi ilivyo ni ya kizalendo kweli, ikizingatiwa kabisa kimalipo sahihi kutokana na ugumu wake inapaswa ilipwe mara mbili ya hivi inavyolipwa. Lakini Sisi jobles hatuna hasara hata hiyo tu tunaona bora kitu kuliko kukosa.
 
Huku wamesema siku za kuhesabu watu ni siku 6 na siku za majengo ni siku 3

Ila hii semina ngumu jamani kupelekana paka sambili alafu ef40 daah
Huku ni kuumizana,ratiba imewekwa na serikali mwisho saa11 jioni haya mambo ya kutoana saa 2/3 sijui wameyatolea wapi hawa wakufunzi wa TANGA huku ndio kutoheshimu mamlaka za juu
 
Sio kila Mwanakaya ataulizwa Maswali 100... kuna Maswali hayawahusu baadhi ya Wanakaya mf Maswali ya ELIMU hayatawahusu watoto U4, Maswali ya Ndoa hayatawahusu watoto U10, Watu wa U60 hawataulizwa Maswali ya KADI YA MATIBABU YA WAZEE nk
Dodoso la sensa ya watu na makazi lina maswali 100 unaweza kweli kuhoji kaya 25 kwa Siku kila mwanakaya maswali 100 ukaguwe na vyeti na kwenye semina umelishwa vitumbua na hela ya nauli unakata kwenye 40k [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom