Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ach
vijana tumepata kazi alafu siku ya kwanza ni kuhoji masuala ya posho,tusubiri hata week 2 tu haina shida serikali iko makini tutangulize uzalendo kwanza.

SENSA KWA MAENDELEO,JIANDAE KUHESABIWA.

SENSA OYEEEEEEEEAcha

aisee mliopata shavu tukumbukane ktk kumwagilia moyo tafadali namba yangu iyo apo natangiliza shkrn serious
Unawaza kulewa tuu ndio maana umekosa ukarani
 
Kuchanganya makaran na Tehama kwenye chumba kimoja
Umuhimu wa Tehama uko wapi sasa apo

Na Kwa NN dodoso liwe Sawa
Wakati wengine Wana mlima wa kazi Yan 🤣

Tule mtori nyama zipo chini
 
Semina kwa maeneo mengi zinafanyika kwenye makao makuu ya Halmashauri. Emu fikiria halmashauri za miji na za wilaya. Watu wanatokea mbali kufata mafunzo inabidi walale nyumba za kulala wageni na chakula cha jion unajitegemea. Asee ukirudi na 400k wewe mwanaume
 
Watu mnaposema semina ya mafunzo ni siku 19 na field ni siku 6 na kuhesabu watu ni siku 6, Hizo siku mnazitoa wapi au sensa imesogezwa mbele?

Mimi ninachojua kama mafunzo ni siku 19 maana yake yameanza trh 1.08.2022 na yataisha trh 19.08.2022, baada ya hapo zinakuwa zimebaki siku 3 tu kabla ya sensa yenyewe trh 23. Hizo siku zingine mnazitoa wapi???
 
Wanasema numbers don't lie

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
20220803_154745.jpg
wanangu tuzameni Zambia
 
Watu mnaposema semina ya mafunzo ni siku 19 na field ni siku 6 na kuhesabu watu ni siku 6, Hizo siku mnazitoa wapi au sensa imesogezwa mbele?

Mimi ninachojua kama mafunzo ni siku 19 maana yake yameanza trh 1.08.2022 na yataisha trh 19.08.2022, baada ya hapo zinakuwa zimebaki siku 3 tu kabla ya sensa yenyewe trh 23. Hizo siku zingine mnazitoa wapi???
Yameanza tarehe 31 sio 1
 
Back
Top Bottom