Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Asante nimefanikiwaNjoo inbox nkutumie soft copy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nimefanikiwaNjoo inbox nkutumie soft copy
SahihiHi kaz imeshaingia siasa walibidi watupe posho kila siku
Hakuna habari za uzalendo katika Mambo muhimu.
Pia hiyo 40k mbn ndogo sana jaman wakat makarani ndo kitovu Cha sensa.
Uzalendo unabidi uendane malipo mazuri na chakula Cha kutosha ili kuepusha kuharibu Kazi .
KabisaHi kaz imeshaingia siasa walibidi watupe posho kila siku
Hakuna habari za uzalendo katika Mambo muhimu.
Pia hiyo 40k mbn ndogo sana jaman wakat makarani ndo kitovu Cha sensa.
Uzalendo unabidi uendane malipo mazuri na chakula Cha kutosha ili kuepusha kuharibu Kazi .
ShukranMalipo ni flat rate 40000, waliongeza 5000 Ila ikageuzwa kupewa mzabuni wa kuwalisha asbh na mchana [emoji4] , so mkononi unabaki na 40000 nchi nzima per day
UsiwasanueeWanabidi watulipe vizuri ili tusipike data
Siku 19 + Siku 6 za Sensa Jumla siku 25 = 1mWanalipa kwa muda gani
19+3+11=33Siku 19 + Siku 6 za Sensa Jumla siku 25 = 1m
Hiyo 3 na 11 ni zipi tena?19+3+11=33
3 field,11 za kazi yenyeweHiyo 3 na 11 ni zipi tena?
Kaka nami naomba aisee. Nitumie kwa whatsap 0625697394Asante nimefanikiwa
Nafasi za maudhui kama sio mkuu wa shule au AEK au mwalimu mkuu au sio msahili basi imekula kwetu.
Nafasi za maudhui kama sio mkuu wa shule au AEK au mwalimu mkuu au sio msahili basi imekula kwetu.
Unajiamini kiasi gani mpaka unaweka namba humu?Kaka nami naomba aisee. Nitumie kwa whatsap 0625697394
Unajiamini kiasi gani mpaka unaweka namba humu?
Unajiamini kiasi gani mpaka unaweka namba humu?
Najiamini maana sina mambo ya ajabu ajabu.Unajiamini kiasi gani mpaka unaweka namba humu?