Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Hii nchi ngumu SanaMsosi kila sehemu n changamoto ukiuliza wanasema siku ya kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ngumu SanaMsosi kila sehemu n changamoto ukiuliza wanasema siku ya kwanza
vijana tumepata kazi alafu siku ya kwanza ni kuhoji masuala ya posho,tusubiri hata week 2 tu haina shida serikali iko makini tutangulize uzalendo kwanza.
SENSA KWA MAENDELEO,JIANDAE KUHESABIWA.
SENSA OYEEEEEEEEAcha
Unawaza kulewa tuu ndio maana umekosa ukaraniaisee mliopata shavu tukumbukane ktk kumwagilia moyo tafadali namba yangu iyo apo natangiliza shkrn serious
Mkuu mbeya sehemu gani hiyo?Semina kwa karani ni siku 10 kwa maudhui siku 19 kwa mkoa wa mbeya
Afu wameongeza elfu kumi tu ndo nauli mpaka mwisho wa mafunzo.
Yaani nipo kwenye mafunzo unanibishia
Niko kwenye mafunzo mbeya mjini, hao siku 19 ni watu wa maudhuiMkuu mbeya sehemu gani hiyo?
Rungwe wameambiwa semina ni siku 18 na kila siku ni 40k.
Sasa kama ikiwa siku kumi kwa makarani mbona kama inakua tofauti na usemavyo!?
Uongo semina mwisho tarh 18/08 then inafata fieldNiko kwenye mafunzo mbeya mjini, hao siku 19 ni watu wa maudhui
Wanasema numbers don't lieWatu mnaposema semina ya mafunzo ni siku 19 na field ni siku 6 na kuhesabu watu ni siku 6, Hizo siku mnazitoa wapi au sensa imesogezwa mbele?
Mimi ninachojua kama mafunzo ni siku 19 maana yake yameanza trh 1.08.2022 na yataisha trh 19.08.2022, baada ya hapo zinakuwa zimebaki siku 3 tu kabla ya sensa yenyewe trh 23. Hizo siku zingine mnazitoa wapi???
Sawa acha tunywe mchuzi nyama tutazikuta chini.Niko kwenye mafunzo mbeya mjini, hao siku 19 ni watu wa maudhui
Yameanza tarehe 31 sio 1Watu mnaposema semina ya mafunzo ni siku 19 na field ni siku 6 na kuhesabu watu ni siku 6, Hizo siku mnazitoa wapi au sensa imesogezwa mbele?
Mimi ninachojua kama mafunzo ni siku 19 maana yake yameanza trh 1.08.2022 na yataisha trh 19.08.2022, baada ya hapo zinakuwa zimebaki siku 3 tu kabla ya sensa yenyewe trh 23. Hizo siku zingine mnazitoa wapi???
Niko kwenye mafunzo mbeya mjini, hao siku 19 ni watu wa maudhui
Mafunzo yameanza 31 mpaka 18 jumla siku 19 × 40,000 760k pamoja na siku 6 za sensa 6×40=240k Jumla 1m (inasemekena kutakuwa na siku 3 za majaribio field sina uhakika)